Kimataifa

Matokeo ya Azam Vs APR Leo: CAF Champions League

Matokeo ya Azam Vs APR Leo: CAF Champions League 2 Agosti 2024 Klabu Bingwa | Matokeo ya Azam Leo Dhidi ya APR CAF Champions

Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo
Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo

Azam FC Vs APR: Vita ya Michuano ya Afrika Leo

Leo, tarehe 24 Agosti 2024, Azam FC inakutana na APR FC kutoka Rwanda katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Mchezo huu unaochezwa katika uwanja wa Azam Complex utaanza saa 12:00 jioni na ni muhimu kwa Azam FC kurudi kwa nguvu kwenye michuano ya Afrika baada ya kutokuwepo kwa muda. Matokeo ya Azam Vs APR Leo: CAF

Azam FC imerejea kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kukosa kushiriki kwa muda mrefu, mara ya kwanza ikiwa mwaka 2015 waliposhinda ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika msimu huo, Azam FC iliongozwa na Kocha Mcameroon Joseph Omog, walishinda michezo 18 na kutoa sare 8 kati ya 26.

Matokeo ya Azam Vs APR Leo 18/08/2024 Klabu Bingwa

APR FC1 – 0Azam Fc

Hii ni mara ya pili kwa Azam FC kushiriki michuano hii, na matarajio yao ni kufika mbali zaidi, hasa katika hatua ya makundi. Kocha wa Azam FC amesisitiza umuhimu wa kutumia uwanja wa nyumbani kupata matokeo kabla ya mechi ya marudiano Kigali, Rwanda, Agosti 24, 2024.

APR FC, mabingwa wa Ligi Kuu Rwanda mara 22, wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na uzoefu mkubwa wa kikanda. Timu hii ilishiriki Kombe la Kagame jijini Dar es Salaam na walicheza pia na Simba SC katika tamasha la ‘Simba Day’ Agosti 3, 2024, ambapo walifungwa mabao 2-0. Hata hivyo, APR FC ni timu yenye uwezo na mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mechi hii itakuwa na ushindani mkali kutokana na maandalizi ya pande zote mbili. Azam FC, wakiwa nyumbani, wanatarajia kutumia faida hiyo kupata ushindi kabla ya mechi ya marudiano. APR FC, kwa upande wao, wanalenga kupata matokeo mazuri ugenini ili kurahisisha kazi nyumbani.

TAZAMA: Kikosi Cha Azam Vs APR Leo: CAF Champions League

Mashabiki wa Azam FC na wapenzi wa soka nchini wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kushangilia timu yao, wakiwa na matumaini kwamba Azam FC itawakilisha vyema nchi katika michuano hii ya Afrika.

Leave a Comment