Ratiba ya mechi za Simba SC 2024/2025, ikiwemo mechi dhidi ya Yanga na Azam FC. Fahamu tarehe na viwanja vya michezo ya msimu huu.
Ratiba Kamili ya Simba SC Ligi Kuu NBC 2024/2025
Tarehe | Nyumbani | Dhidi Ya | Uwanja | Muda |
---|---|---|---|---|
TBA | Azam FC | vs Simba SC | Benjamin Mkapa | TBA |
TBA | Simba SC | Namungo FC | KMC Complex | TBA |
4-Oct-24 | Simba SC | Coastal Union | KMC Complex | 16:15 |
19-Oct-24 | Simba SC | Young Africans | KMC Complex | 17:00 |
TBA | Mashujaa FC | Simba SC | Lake Tanganyika | TBA |
TBA | Simba SC | JKT Tanzania | KMC Complex | TBA |
TBA | Simba SC | KMC FC | TBA | TBA |
21-Nov-24 | Pamba Jiji | Simba SC | CCM Kirumba | 16:15 |
Ratiba ya Mechi za Simba Sc Ligi Kuu
Msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 umekaribia kuanza, na mashabiki wa soka kote nchini Tanzania wanatazamia kwa shauku kuona jinsi Simba SC itakavyofanya. Kwa timu ya Simba SC, msimu huu ni fursa nyingine ya kuthibitisha ubabe wao na kurudisha taji lao mikononi mwao. Ratiba ya mechi imeshatolewa, na sasa tunaweza kuchambua safari yao ya kuelekea mafanikio itakavyokuwa.
Katika msimu huu wa 2024/2025, Simba SC itatumia uwanja wa KMC Complex, Mwenge, kama uwanja wao wa nyumbani kwa mechi zao za Ligi Kuu.
Ratiba ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu NBC 2024/2025
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu imetangazwa, na mechi tano za kwanza za Simba SC ni hizi zifuatazo:
- Simba SC vs Tabora United – KMC Complex
- Simba SC vs Fountain Gate – KMC Complex
- Prisons vs Simba SC – Sokoine
- Azam FC vs Simba SC – Benjamin Mkapa
- Simba SC vs Namungo FC – KMC Complex
Mechi hizi za mwanzo zitakuwa kipimo cha mwanzo kwa Simba SC. Ni muhimu kwao kuanza msimu kwa ushindi ili kujiweka katika nafasi bora ya kutwaa ubingwa. Mikwangurano dhidi ya Azam FC na Prisons itakuwa ya kuvutia zaidi, kwani hizi ni timu zinazojulikana kwa ushindani mkubwa.
Soma: Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025, NBC Premier League
Tarehe, Nyumbani, Dhidi, Ugenini, Muda, Dimba:
- TBA: Azam FC vs Simba SC – Benjamin Mkapa
- TBA: Simba SC vs Namungo FC – KMC Complex
- 4-Oct-24: Simba SC vs Coastal Union – KMC Complex – 16:15
- 19-Oct-24: Simba SC vs Young Africans – KMC Complex – 17:00
- TBA: Mashujaa FC vs Simba SC – Lake Tanganyika
- TBA: Simba SC vs JKT Tanzania – KMC Complex
- TBA: Simba SC vs KMC FC – TBA
- 21-Nov-24: Pamba Jiji vs Simba SC – CCM Kirumba – 16:15
Mechi hizi zinaonekana kuahidi msimu wa kusisimua, huku Simba SC ikitarajiwa kuonyesha makali yake na kufurahia mafanikio.
Leave a Comment