HomeMichezoMatokeo ya APR Vs Azam Fc Leo

Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo

Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo Agosti 24, Matokeo ya APR Dhidi ya Azam leo Klabu Bingwa

Wana rambaramba Azam FC leo watakua ugenini Rwanda kuikabili APR FC katika mchezo wa marudiano wa hatua za awali za michuano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions League). Mchezo huu utaanza majira ya saa moja usiku katika uwanja wa Amahoro, jijini Kigali. Mchezo huu ni muhimu kwa Azam FC kwani wanatafuta nafasi ya kufuzu hatua inayofuata baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1-0 katika mchezo wa awali uliofanyika Dar es Salaam.

Matokeo ya Azam Fc VS APR Leo 24/08/2024

APR FCVSAzam Fc
Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo

Tazama pia: Kikosi cha Azam Fc VS APR Leo, 24 Agosti

  • Klabu Bingwa Afrika CAF
  • APR FC VS AZAM FC
  • 24.08.2024
  • Uwanja wa Amahoro
  • Saa Moja Usiku
Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo
Matokeo ya APR Vs Azam Fc Leo

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Latest Posts