Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba
Simba Sports Club, maarufu kama “Wekundu wa Msimbazi” au “Makolo,” ni klabu ya soka nchini Tanzania yenye historia iliyojaa mafanikio makubwa. Kila msimu, mashabiki wa Simba hujazwa na hamasa na matumaini mapya, wakitarajia kuona timu yao ikirejea katika ubora wake na kuendelea kutawala soka la Tanzania na Afrika. Msimu wa 2024/2025 unaanza kwa kishindo, huku kikosi cha Simba kikiwa tayari kwa changamoto mpya.
Klabu imefanya mabadiliko kadhaa kwa kuwasajili wachezaji wapya na kuwaachia baadhi ya wachezaji. Mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu kuona jinsi kikosi kipya kitakavyocheza chini ya uongozi wa benchi la ufundi. Je, Simba itaweza kuibuka na kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA? Je, watafanya vizuri zaidi kwenye michuano ya kimataifa kama Kombe la Shirikisho Afrika? Haya ni baadhi ya maswali yanayowakuna mashabiki huku msimu mpya ukianza.
Hapa kuna orodha ya wachezaji wote wa Simba kwa msimu wa 2024/2025, ikijumuisha sajili mpya.
Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba
Makipa Wa Simba Sc 2024/2025
- Ayoub Lakred
- Moussa Camara
- Ally Salim
- Hussein Abel
- Ahmed Feruz
Mabeki Wa Simba Sc 2024/2025
- Mohamed Hussein
- Shomari Kapombe
- David Kameta
- Edwin Balua
- Che Fondoh Malone
- Hamisi Abdallah
- Ladack Chasambi
- Kelvin Kijili
Viungo Wa Simba Sc 2024/2025
- Fabrice Ngoma
- Mzamiru Yassin
- Willy Esomba Onana
- Freddy Michael
- Joshua Mutale
- Steven Dese Mukwala
- Awesu Awesu
Washambuliaji Wa Simba Sc 2024/2025
- Jean Charles Ahoua
- Abdulrazack Mohamed Hamza
- Valentino Mashaka
- Augustine Okejepha
- Debora Fernandes Mavambo
- Omary Omary
- Karaboue Chamou
- Valentin Nouma
- Yusuph Kagoma
Leave a Comment