Tiketi za Yanga Day 2024
Yanga Day 2024, pia inajulikana kama Wiki ya Mwananchi, ni sherehe kubwa inayofanyika leo kwa ajili ya kuadhimisha mafanikio ya Yanga SC, mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara tatu mfululizo. Tukio hili litafanyika leo, tarehe 4 Agosti, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, na mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kusherehekea pamoja na timu yao pendwa. Hizi hapa taarifa muhimu kuhusu tiketi za Yanga Day.
Bei za Tiketi za Yanga Day 2024
Yanga imeweka viwango tofauti vya tiketi ili kuhakikisha kila shabiki anapata nafasi ya kushiriki katika sherehe hii:
- VIP A: Tsh 50,000
- VIP B: Tsh 30,000
- VIP C: Tsh 15,000
- Jukwaa la Machungwa: Tsh 10,000
- Mzunguko: Tsh 5,000
Pita hapa: WATCH LIVE: Yanga Day 2024 (Wiki ya Mwananchi)
Pia, kuna tiketi maalum za Royal ambazo zinajumuisha jezi, siti za kukaa VIP A, huduma ya chakula, viburudisho, na usafiri kwa bei ya Tsh 300,000.
Maeneo ya Kununua Tiketi za Yanga Day 2024
Tiketi zinapatikana katika maeneo mbalimbali nchini:
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Kinondoni, Sinza, Mbeya
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Kibacho Juma – Morogoro
- Mwanaidi Izina – Morogoro
- Godwin Fredy – Geita
- Twisty Investment – Geita
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhiem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Mbeya, Kivukoni, Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
- Lampard Electronics – DSM
Usikose kuhudhuria Yanga Day 2024 kwa kununua tiketi zako mapema na kusherehekea mafanikio ya Yanga SC pamoja na mashabiki wengine.
Leave a Comment