Vikosi vya Singida Black Stars na Kengold FC Leo
Leo tarehe 18 Agosti 2024, mashabiki wa soka watashuhudia mechi kali kati ya Singida Black Stars na Kengold FC katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, hasa ukizingatia kwamba Kengold FC ndio mara yao ya kwanza kushiriki ligi, wakati Singida Black Stars tayari imejenga uzoefu kwenye ligi hiyo.
Vikosi vya Mechi ya Leo
🏆 NBC Tanzania Premier League
Kengold FC vs Singida Black Stars
📆 Tarehe: 18 Agosti 2024
🏟 Mahali: Uwanja wa Sokoine, Mbeya
🕖 Muda: Saa 8:00 Mchana
Kikosi cha Kengold FC:
STARTING XI
- 1.Mussa
- 2.Makenzi
- 3.Bilal 4.Mwaipopo
- 5.Asanga
- 6.Mandazi
- 7.Ugando
- 8.Sangija
- 9.Joshua
- 10.Daud
- 11.Lukindo
SUBS
Castor,Steven,Salum, Lubinda,Hamad,Cabaye, Mpuka,Materazzi, Msuva,Faraj
Kikosi cha Singida Black Stars:
STARTING IX
- 23 METACHA
- 10 TCHAKEI EC
- 6 KEYEKEH
- 13 TRA BI
- 15 GUEDE
- 19 IMORO
- 21 CIRILLE
- 28 TANIMU
- 32 CAMARA
- 38 RUPIA
- 60 ARTHUR
SUBS:
HAULE, 4.KHALID,MBEGU, 7LYANGA, 12.MAJIMENGI, 17.KYOMBO, 18.MANYAMA, 26.KENNEDY,40.SANGA, 47.KAWAMBWA
Vikosi hivi vimeandaliwa kwa umakini mkubwa na makocha wao, huku kila timu ikilenga kupata alama tatu muhimu. Mashabiki wanasubiri kwa hamu kuona nani ataibuka na ushindi katika mechi hii.
Leave a Comment