AUDIO: Kayumba – Sunami | Pakua Mp3
Msanii chipukizi kutoka Tanzania, Kayumba, ambaye amejipatia umaarufu kupitia ushindi wake kwenye shindano la Bongo Star Search, amerudi tena na ngoma kali mpya inayojulikana kama “Sunami.” Wimbo huu unazidi kuthibitisha kipaji chake kikubwa katika muziki wa Bongo Fleva.
Kayumba – Sunami: Pakua na Sikiliza
Sikiliza na Pakua wimbo wa “Kayumba – Sunami” hapa chini: