Soka

Washindi Tuzo za TFF 2023/2024

Washindi Tuzo za TFF 2023/2024

Katika Tuzo za TFF 2023/2024, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza washindi wa tuzo mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika Agosti 1, 2024 katika ukumbi wa The Sper Dome Masaki, Dar es Salaam. Hapa chini ni majina ya washindi katika makundi mbalimbali:

Tuzo za TFF 2023/2024 zimegawanyika katika makundi matano ambayo ni;

  1. Tuzo za Kombe la Shirikisho la Benk1 ya CRDB
  2. Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
  3. Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
  4. Tuzo za Utawala, na;
  5. Tuzo za Ligi nyingine

Washindi Tuzo za TFF

Ligi Kuu ya NBC Tanzania

  • Kocha Bora: Miguel Gamondi – Young Africans
  • Mchezaji Bora: Aziz KI – Yanga
  • Beki Bora: Ibrahim Bacca – Young Africans
  • Golikipa Bora: Ley Matampi – Coastal Union
  • Kiungo Bora: Feisal Salum – Azam Fc
  • Mchezaji Bora Chipukizi: Shomary Raheem – Kmc

Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB

  • Mfungaji Bora: Clement Mzize – Yanga
  • Kipa Bora: Djigui Diarra – Young Africans
  • Mchezaji Bora: Feisal Salum – Yanga

Seti Bora Ya Waamuzi:

  • Mwamuzi Bora: Ahmed Arajiga

Timu Yenye Nidhamu: Mtibwa Sugar

Meneja Bora: Amir Juma – Azam Complex

Kamishina Bora: Zena Chande – Dar es Salaam

Washindi Tuzo za TFF 2023/2024
Washindi Tuzo za TFF 2023/2024

Tuzo za Ligi Nyingine:

  • Mchezaji Bora NBC Championship: Casto Mhagama – Kengold Fc
  • Mchezaji Bora First League: Mohamed Bakari – African Sports

Mchezaji Bora Beach Soccer: Yahya Tumbo – Vingunguti Kwanza

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Me): Mbwana Samatta

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Ke): Clara Luvanga

Ligi Kuu Ya Wanawake:

  • Mfungaji Bora: Aisha Mnuka – Simba Queens
  • Kocha Bora: Juma Mgunda – Simba Queens
  • Mchezaji Bora Chipukizi: Lyidia Kabambo – Jkt Queens

Mwamuzi Msaidizi Bora: Zawadi Yusuph

Timu Yenye Nidhamu: Simba Queens

Leave a Comment