Soka

Wachezaji Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024

Wachezaji Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekuja na orodha ya wachezaji wanaowania tuzo za TFF. Wachezaji hawa wameonyesha umahiri wao kwenye viwanja na wanastahili kutambuliwa kwa mchango wao mkubwa katika michezo. Tunakuletea majina ya wachezaji bora ambao wamechaguliwa kwa tuzo hizi, pamoja na takwimu na mafanikio yao msimu huu.

WACHEZAJI Wanaowania Tuzo Za TFF 2023/2024

Tayari Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa washiriki katika Makundi mbalimbali ya Tuzo hizo.

Tuzo hizo zimegawanyika katika makundi matano ambayo ni;

  • Tuzo za Kombe la Shirikisho la
  • Benki ya CRDBTuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
  • Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
  • Tuzo za Utawala, na;
  • Tuzo za Ligi nyingine

Msimu huu kutakuwa na ongezeko la tuzo tatu ambazo hazikuwepo msimu uliopita na kati ya hizo tuzo mbili ni mpya hazijawahi kutolewa, wakati tuzo moja iliwahi kutolewa lakini msimu uliopita haikuwepo.

Tuzo mpya ni Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanaume) na Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanamke). Tuzo nyingine ni Mchezaji Bora wa Soka la Ufukweni.

Orodha kamili ya tuzo hizo na wateule wake ni kama ifuatavyo:

TUZO ZA LIGI KUU YA NBC (PL)

Kocha Bora Ligi Kuu NBC

  1. Miguel Gamondi  – Young Africans
  2. Bruno Ferry  – Azam Fc
  3. David Ouma  – Coastal Union

Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC

  1. Aziz KI  – Yanga
  2. Feisal Salum  – Azam
  3. Kipre Junior  – Azam
  4. Djigui Diarra  – Yanga
  5. Ley Matampi  – Coastal
  6. Attohoula Yao  – Yanga
  7. Ibrahim Bacca  – Yanga
  8. Mohamed Hussein  – Simba

Beki Bora Ligi Kuu NBC

  1. Attohoula Yao  – Young Africans
  2. Ibrahim Bacca  – Young Africans
  3. Mohamed Hussein  – Simba Sc

Golikipa Bora Ligi Kuu NBC

  1. Djigui Diarra  – Young Africans
  2. Ley Matampi  – Coastal Union
  3. Ayoub Lakred  – Simba Sc

Kiungo bora Ligi Kuu NBC

  1. Feisal Salum  – Azam Fc
  2. Aziz KI  – Yanga Sc
  3. Kipre Junior  – Azam Fc

Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya NBC

  1. Semfuko Charles Coastal
  2. Shomary Raheem Kmc
  3. Costantine Malimigeita

Tuzo ya Seti Bora Ya Waamuzi Ligi Kuu Ya NBC

  1. Simba Sc 1-5 Young Africans; Ref-Ahmed Arajiga Asst-Mohamed Mkono Asst-Kassim Mpanga 4th -Ramadhan Kayoko
  2. Simba Sc 1 -2 Prisons; Ref- Nassoro Mwinchui Asst.Makame Mdogo Asst -Neeata Mwambashi 4th -Selemani Kinugani
  3. Azam Fc 2 – 1 Young Africans; Ref-Hery Sasii Asst-Frank Komba Asst-Kassim Mpanga 4th -Isihaka Mwalile
  4. Azam Fc 0 – 0 Mashujaa; Ref-Katanga Hussein Asst4-Iamdan Said Asst-Martin Mwalyaje 4th -Ramadhan Kayoko
  5. Jkt 0-0 Young Africans; Ref-Herry 54511 Asst-Omari Kambangwa Asst-Zawadi Yusuph 4th -Isihaka Mwalile
  6. Simba Sc 0-2 Young Africans; Ref -Ahmed Arajiga Manyara Asst- Mohamed. Mkono-Tanga Asst- Kassim Mpang – Dsm 4″ – Tatu Malogo Tanga

Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Frank Komba
  2. Mohammed Mkono
  3. Kassim Mpanga
  4. Janeth Balama
  5. Zawadi Yusuph

Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Tatu Malogo
  2. Ahmed Arajiga
  3. Abdallah Mwinyimkuu
  4. Amina Kyando
  5. Hery Sasii
  6. Saad Mrope

Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Ihefu
  2. Kagera Sugar
  3. Mtibwa Sugar

Wanao wania Tuzo ya Meneja Bora

  1. Amir Juma Azam Complex
  2. Nasser Makau Mkwakwani
  3. Shaaban Raiabu Lake Tanganyika

Wanao Wania Tuzo ya Kamishina Bora

  1. Martin Kibua-Tanga
  2. Zena Chande-Dar es Salaam
  3. Hamis Kitila-Singida
  4. Sadick Jumbe-Mbeya
  5. Abousufian

TUZO ZA KOMBE LA CRDB.

Mfungaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Clement Mzize  – Yanga
  2. Edward Songo- JKT Tanzania

Kipa Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Djigui Diarra  – Young Africans
  2. Khomein Abubakar  – Ihefu Sc
  3. Mohamed Mustafa  – Azam Fc

Mchezaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Aziz KI  – Yanga
  2. Feisal Salum  – Azam Fc
  3. Clement Mzize  – Yanga
  4. Ibrahim Bacca  – Yanga
  5. Kipre Junior  – Azam Fc

TUZO ZA LIGI KUU YA WANAWAKE.

Mfungaji Bofta Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Aisha Mnuka-Simba Queens

Kipa Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Najath Abbas-Jkt Queens
  2. Caroline Rufaa-Simba Queens
  3. Mariam Shaaban-Bunda Queens

Mchezaji Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Aisha Mnuka-Simba Queens
  2. Stumai Abdallah- Jkt Queens
  3. Kaecla Wilson-Yanga Princess
  4. Violath Nicholaus- Simba Queens
  5. Vivian Corazone- Simba Queens

Kocha Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Juma Mgunda-Simba Queens
  2. Esther Chabruma- Jkt Queens
  3. Noah Kanyoga-Ceasiaa Queens

Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Esther Maseke-Bunda Queens
  2. Lyidia Kabambo-Jkt Queens
  3. Bituro Mgosi-Bunda Queens

Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Sikudhan Mkurungwa
  2. Glory Tesha
  3. Zawadi Yusuph
  4. Monica Wazael
  5. Getruda Gervas

Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Amina Kyando
  2. Tatu Malogo
  3. Anitha Kisoma
  4. Esther Adalbert

Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Bunda Queens
  2. Simba Queens
  3. Amani Queens

Tuzo Za Ligi Nyingine

Mchezaji Bora Nbc Championship

  1. Boban Bogere Biashara Utd
  2. Casto Mhagama- Kengold Fc
  3. Edgar William Kengold Fc

Mchezaji Bora First League

  1. Mohamed Bakari- African Sports
  2. Ayoub Masudi- African Sports
  3. Ahmad Ndondi- Malimao

Mchezaji Bora Ligi Ya U-20

  1. Bruno Nataly-Kagera Sugar
  2. Omary Shaaban Mwinyimvua-Dodoma Jiji
  3. Ally Mohamed Golo -Azam

Mchezaji Bora Beach Soccer

  1. Jaruph Rajabu Juma-Friends Of Mkwajuni 2
  2. Yahya Tumbo-Vingunguti Kwanza
  3. Abdillah Mohammed-Rata Fc

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Me)

  1. Mbwana Samatta
  2. Novatus Dismas
  3. Himid Mao

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Ke)

  1. Clara Luvanga
  2. Aisha Masaka
  3. Oppah Clement

Kikosi Bora Cha Msimu 2023/2024 kitatangazwa usiku wa tuzo (Ukumbini)

MENEJA BORA.
1:Amri Juma – Azam Complex.
2:Nasser Makau – Mkwakwani.
3:Shaaban Rajabu – Lake Tanganyika.

KAMISHINA BORA.
1:Martin Kibua – Tanga.
2:Zena Chande – Dar Es Salaam.
3:Hamis Kitila – Singida.
4:Sadick Jumbe – Mbeya.
5:Abousufian Silia – Iringa.

MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI.
1:Semfuko Charles – Coastal Union.
2:Shomary Raheem – KMC FC.
3:Constantine – Malimi – Geita Gold.

Leave a Comment