Soka

Tiketi za Ngao ya Jamii: Vituo vya Kukata Tiketi kwa Mechi ya Yanga vs Simba

Vituo vya Kukata Tiketi Mechi ya Ngao ya Jamii

Tiketi za Mechi ya Ngao ya Jamii: Vituo vya Kukata Tiketi kwa Mechi ya Yanga vs Simba

Mechi ya Ngao ya Jamii inayowakutanisha Yanga na Simba inatarajiwa kuwa tukio la kihistoria katika michezo ya Tanzania. Kwa hivyo, tiketi za mechi hii zinapatikana katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam na mikoani, ili kuhakikisha kila shabiki ana nafasi ya kushuhudia mchezo huu wa kuvutia.

Hii Hapa orodha ya vituo vya kukata tiketi za Mechi ya Ngao ya Jamii:

  • Blue Sky (Mikocheni)
  • Newtech General Traders & Supplier (Ubungo)
  • Sabana Business Center (Majimatitu)
  • Jackson Kimambo (Ubungo – Kibo)
  • Sandaland Sport Wear (Kariakoo)
  • Melele Sport Wear (Kariakoo)
  • Vunja Bei (T) Group Limited (Sinza)
  • Vunja Bei (T) Group Limited (Kinondoni)
  • Vunja Bei (T) Group Limited (Mbeya)
  • Fusion Sport Wear (Posta)
  • Alphan Mohammed Hing’aa (Ubungo – Oilcom)
  • Juma Burrah (Mbeya)
  • Juma Burrah (Msimbazi Center)
  • Mawakala Wote wa NBC
Vituo vya Kukata Tiketi Mechi ya Ngao ya Jamii
Vituo vya Kukata Tiketi Mechi ya Ngao ya Jamii

Ili usikose nafasi ya kushuhudia mechi hii ya kipekee, pata tiketi yako mapema kwenye vituo vilivyotajwa. Mechi ya Ngao ya Jamii itakuwa ni burudani ya kipekee, na hakika itavutia wapenzi wa soka kutoka pande zote za nchi.

Leave a Comment