Soka

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025, Matokeo ya NBC Premier league 2024/2025

Baada ya kusubiliwa kwa muda, Hatimaye michuano ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025 inakaribia kutimua vumbi rasmi Agosti 16 ambapo mashabiki wataanza msimu mpya kwa kushuhudia mtanange baina ya Pamba jiji na Tanzania Prisons utakao chezeka katika dimba la CCM kirumba Mwanza. Michezo mingine ya ligi itaendelea tarehe 17 ambapo Mashujaa Fc watacheza na Dodoma jiji uku Namungo watacheza dhidi ya Fountain Gate. Agosti 18, wekundu wa msimbazi simba wataoneshana ubabe na Tabora United wakati kengold Fc wakikichapa dhidi ya Singida Bs. Hapa tutakuletea Matokeo Ya mechi zote za Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania

TareheNyumbaniMatokeoUgeniniMudaUwanja
August 16, 2024Pamba JijiVSTanzania Prisons16:00CCM Kirumba
August 17, 2024Mashujaa FCVSDodoma Jiji16:00Lake Tanganyika
August 17, 2024Namungo FCVSFountain Gate19:00Majaliwa Stadium
August 18, 2024KenGold FCVSSingida BS14:00Sokoine Stadium
August 18, 2024Simba SCVSTabora United16:15KMC Complex
August 28, 2024JKT TanzaniaVSAzam FC16:00Mej. Jen. Isamuhyo
August 29, 2024KMC FCVSCoastal Union16:00KMC Complex
August 29, 2024Kagera SugarVSYoung Africans19:00Kaitaba Stadium
August 23, 2024Mashujaa FCVSTanzania Prisons16:00Lake Tanganyika
August 24, 2024Pamba JijiVSDodoma Jiji16:00CCM Kirumba
August 24, 2024Kagera SugarVSSingida BS19:00Kaitaba Stadium
August 25, 2024Simba SCVSFountain Gate16:00KMC Complex
August 25, 2024Namungo FCVSTabora United19:00Majaliwa Stadium
September 25, 2024JKT TanzaniaVSCoastal union14:00Mej. Jen. Isamuhyo
September 25, 2024KenGold FCVSYoung Africans16:15Sokoine Stadium
September 26, 2024KMC FCVSAzam FC16:00KMC Complex
Matokeo Ya Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2024/2025

Leave a Comment