Jinsi Ya

Hizi Hapa Code za Haloteli 2024

Hizi Hapa Code za Haloteli

Pata hapa code za Haloteli kwa maelezo kamili na matumizi yake. Usikose ofa maalum na punguzo!

Hii hapa orodha ya Code za Haloteli: Namba Muhimu Za Haloteli 2024

Halotel ni miongoni mwa mitandao ya simu inayoongoza nchini, ikihudumia kwa gharama nafuu. Imejipatia sifa kwa huduma bora na bei nafuu ikilinganishwa na wengine, hivyo kuwavutia wengi kutumia mtandao huu. Ikiwa wewe ni mteja wa Halotel au unapanga kuanza kutumia mtandao huu, ni muhimu kufahamu Code za Halotel, ambazo ni namba maalum zinazowawezesha wateja wa haloteli kujiunga na huduma mbalimbali. Hapa tumekuletea namba zote za kujiunga na huduma mbalimbali za Haloteli.

Hizi Apa Code za Haloteli: Namba Muhimu Za Haloteli 2024

Code Za HaloteliHuduma
*148*66#Kusajili vifurushi
*148*55#Kusajili vifurushi kwa laini za Chuo, Tomato, Edu na Study
*150*88#HaloPesa
*102#Kuangalia salio Kuu na Ia Ziada
*102*01#Kuangalia salio Ia Promosheni
*106#Kuangalia taarifa za usajili
*15042*1#Kusajili huduma za roaming
namba za *kiasi # *101* mpokeajiKutuma salio
Hizi Hapa Code za Haloteli
Hizi Hapa Code za Haloteli

Soma Hii: Jinsi ya Kukopa Salio Halotel (Menu ya Kukopa Halotel)

Kuhusu Halotel Tanzania

Halotel ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayojulikana kwa huduma za sauti, ujumbe, data, na mawasiliano nchini Tanzania. Ni mali ya Viettel Global JSC, kampuni ya uwekezaji inayomilikiwa na serikali ya Vietnam, ambayo imekuwa ikifanya uwekezaji katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali ulimwenguni. Viettel imewekeza zaidi ya dola bilioni moja katika soko la mawasiliano la Tanzania.

Leave a Comment