MATOKEO Yanga vs Zimamoto 29 April 2025
Mechi ya Nusu Fainali Kombe la Muungano 2025
Young Africans SC (Yanga) watavaana na Zimamoto SC katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Muungano 2025, utakao chezwa tarehe 29 Aprili 2025 kwenye Uwanja wa Gombani, Zanzibar.
Saa ya Mchezo
Mchezo huu utaanza rasmi Saa 1:15 usiku, ambapo mashabiki wanatarajia kushuhudia pambano kali kati ya timu hizi mbili zenye historia nzuri katika soka la Tanzania na Zanzibar.
Matukio Muhimu na Taarifa Mubashara
Habari Web Blog itakuwa nawe bega kwa bega, ikikuletea matukio yote muhimu ya mchezo huu kuanzia dakika ya kwanza hadi ya tisini. Usikose kufuatilia taarifa za moja kwa moja za Yanga dhidi ya Zimamoto.
Young Africans vs Zimamoto SC LIVE 29 April 2025
Endelea kutembelea Habari Web Blog kwa matokeo ya moja kwa moja, magoli, mabadiliko ya wachezaji, na takwimu zote muhimu zitakazotokea katika mchezo huu wa kusisimua.