MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA VITENDO KWA KADA YA ASSISTANT PRODUCER II, RECORD MANAGEMENT ASSISTANT II, RADIOGRAPHIC TECHNICIAN II NA LAUNDERER II
Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Assistant Producer (News writing), Record Management Assistant II (Health),Radiographic Technician II na Launderer II mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo.