Nafasi za Kujiunga JWTZ 2025 – Sifa, Taaluma Zinazohitajika na Jinsi ya Kutuma Maombi
Nafasi za kujiunga JWTZ 2025 zimetangazwa! Angalia sifa, taaluma zinazohitajika, na jinsi ya kutuma maombi kabla ya 14 Mei.
Wosia Tata: Ndugu Wawili Matatani kwa Kesi ya Kughushi
Ndugu wawili Dar es Salaam wakabiliwa na kesi ya kughushi wosia wa mama yao, wakidaiwa kujipatia mali kinyume cha sheria.
GGML Yatikiswa: RC Awaondoa Watumishi, Fedha za CSR Zazua Taharuki
RC Geita awaondoa watumishi wa GGML kwenye kikao cha CSR baada ya mvutano wa Sh9.2 bilioni kucheleweshwa.
Taaluma za Kujiunga na JWTZ Mwaka 2025 Zatangazwa Rasmi
JWTZ yatangaza nafasi za uandikishaji kwa mwaka 2025 kwa vijana wenye taaluma adimu za tiba na uhandisi. Fursa maalum kwa wataalamu wa Kitanzania.
Waziri Mkuu Majaliwa Aongoza Matembezi ya Hisani, Atoa Wito Kuhusu Upatikanaji wa Vitabu
Waziri Mkuu Majaliwa azindua maadhimisho ya miaka 50 ya TET, akisisitiza upatikanaji wa vitabu shuleni na kushirikisha sekta binafsi kupunguza gharama.
Tangazo La Nafasi Za Kazi 51 (MDA’s & LGA’s) – Ajira 28 March 2025
Nafasi za kazi 51 katika MDA's & LGA's zimetangazwa! Tuma maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho. Fursa za ajira 28 Machi 2025.
Majina ya Walioitwa Kazini – Ajira Utumishi 08/05/2025
Tazama orodha ya majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili katika sekta za umma na walivyopangiwa vituo vya kazi kwa tarehe 08 Mei 2025.
TANGAZO La Kuitwa Kwenye Usaili JKCI 23 March 2025
TANGAZO La Kuitwa Kwenye Usaili JKCI 23 March 2025
MABADILIKO ya Ratiba ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI April 2025
Mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo kwa kada ya assistant producer ii, record management assistant ii, radiographic technician ii na launderer ii
Matokeo ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Huria 07/05/2025
Tazama matokeo ya usaili wa kuandika kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania uliofanyika tarehe 07 Mei 2025. Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti halisi.
Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali za Serikali Tanzania PSRS -Ajira Portal
Nafasi 57 za kazi katika taasisi za serikali Tanzania kupitia Ajira Portal PSRS. Tafuta ajira mpya na jisajili sasa kupata nafasi yako!
Nafasi za Kazi 21 Kutoka Utumishi (MDAs & LGAs) 2025
Ajira 21 za Serikali zimetangazwa 2025 kupitia Utumishi, ikiwemo nafasi 20 za Accountant II na nafasi 1 ya Nahodha Daraja la II. Tuma maombi kabla ya 11 Mei.
Aliyemuua Mkewe na Kukamatwa Baada ya Miaka 8, Apoteza Rufaa
Nyamhanga Joseph aliyekamatwa miaka 8 baada ya kumuua mkewe, amepoteza rufaa yake. Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa.
Majina ya Walioitwa Kazini TFS na TAWA Aprili 2025
Tazama majina ya walioajiriwa TFS na TAWA Aprili 2025. Pakua barua zako kupitia Ajira Portal na ripoti kazini kwa wakati.