Soka

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 | Ratiba ya NBC Premier league 2024/25

Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama NBC Premier League, iliyoanza rasmi tarehe 16 Agosti 2024. Msimu huu wa 2024/2025 utakuwa na timu 16 zitakazochuana kwa nguvu kuwania taji la ubingwa. Maboresho makubwa yamefanyika katika vikosi vya timu mbalimbali, na kila timu inaonesha dhamira ya kuchukua ubingwa kutoka kwa Yanga SC.

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 1 hadi 4
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 1 hadi 4
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 5 hadi 8
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 5 hadi 8
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 9 hadi 12
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 9 hadi 12
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 13 hadi 16
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 13 hadi 16
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 17 hadi 20
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 17 hadi 20
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 21 hadi 24
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 21 hadi 24
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 25 hadi 28
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 25 hadi 28
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 29 hadi 30
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Mzunguko wa 29 hadi 30

Muhtasari wa Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025

  • Tarehe ya Kuanza: 16 Agosti 2024
  • Tarehe ya Kumalizika: 24 Mei 2025
  • Idadi ya Timu: 16
  • Mizunguko: 30
  • Mabingwa Watetezi: Yanga SC
  • Timu Zilizopanda Daraja: Kengold FC (Tukuyu, Mbeya) na Pamba Jiji FC (Mwanza)
  • Dirisha Dogo la Usajili: 15 Desemba 2024 – 15 Januari 2025

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), kupitia Mtendaji Mkuu Almas Kasongo, imetangaza ratiba kamili ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Msimu utaanza tarehe 16 Agosti 2024, huku mechi ya Ngao ya Jamii ikifanyika kati ya tarehe 8 na 11 Agosti 2024. Msimu huu utakuwa na jumla ya mizunguko 30, ambapo kila timu itacheza mara mbili dhidi ya kila mpinzani, nyumbani na ugenini. Kilele cha msimu kinatarajiwa kufikia tarehe 24 Mei 2025.

Ratiba ya Mizunguko ya Ligi Kuu Tanzania Bara

  • Mzunguko wa 1: Agosti 16, 2024
  • Mzunguko wa 2: Agosti 24, 2024
  • Mzunguko wa 3: Septemba 11, 2024
  • Mzunguko wa 4: Septemba 14, 2024
  • Mzunguko wa 5: Septemba 21, 2024
  • Mzunguko wa 6: Septemba 28, 2024
  • Mzunguko wa 7: Oktoba 2, 2024
  • Mzunguko wa 8: Oktoba 19, 2024
  • Mzunguko wa 9: Oktoba 26, 2024
  • Mzunguko wa 10: Novemba 2, 2024
  • Mzunguko wa 11: Novemba 9, 2024
  • Mzunguko wa 12: Novemba 23, 2024
  • Mzunguko wa 13: Novemba 30, 2024
  • Mzunguko wa 14: Desemba 11, 2024
  • Mzunguko wa 15: Desemba 14, 2024
  • Mzunguko wa 16: Desemba 21, 2024
  • Mzunguko wa 17: Desemba 28, 2024
  • Mzunguko wa 18: Januari 18, 2025
  • Mzunguko wa 19: Januari 25, 2025
  • Mzunguko wa 20: Februari 1, 2025
  • Mzunguko wa 21: Februari 15, 2025
  • Mzunguko wa 22: Februari 22, 2025
  • Mzunguko wa 23: Machi 1, 2025
  • Mzunguko wa 24: Machi 8, 2025
  • Mzunguko wa 25: Machi 29, 2025
  • Mzunguko wa 26: Aprili 12, 2025
  • Mzunguko wa 27: Aprili 19, 2025
  • Mzunguko wa 28: Mei 3, 2025
  • Mzunguko wa 29: Mei 17, 2025
  • Mzunguko wa 30: Mei 24, 2025

Matukio Muhimu ya Msimu

  • Ngao ya Jamii: Mechi itakayofanyika kati ya Agosti 8 hadi 11, 2024, itakuwa fursa kwa timu kuonyesha maandalizi kabla ya ligi kuanza.
  • Dirisha Dogo la Usajili: Litaanza tarehe 15 Desemba 2024 na kufungwa tarehe 15 Januari 2025, kutoa nafasi kwa timu kuimarisha vikosi vyao.

Leave a Comment