Wafungaji Bora NBC 2024/25 Ligi Kuu NBC Tanzania Hadi April

0
Wafungaji Bora NBC 2024/25 Ligi Kuu NBC Tanzania Hadi April
Wafungaji Bora NBC 2024/25 Ligi Kuu NBC Tanzania Hadi April

Katika msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025, ushindani wa ufungaji mabao umechukua sura mpya huku wachezaji kadhaa wakionyesha ubora wao mbele ya lango. Kuanzia tarehe 10 Aprili 2025, orodha ya wafungaji bora imebeba majina ya wachezaji wanaoongoza kwa idadi ya mabao walioweka wavuni katika mechi mbalimbali za ligi hiyo maarufu.

Hii hapa ni orodha rasmi ya wafungaji wanaoongoza katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu, ikionyesha timu wanazochezea pamoja na idadi ya mabao waliyoifunga:

Orodha ya Wafungaji Bora NBC Premier League 2024/2025:

  • Jean Charles Ahoua – Simba SC 🇹🇿 – Mabao 12
  • Prince Dube – Yanga SC 🇹🇿 – Mabao 12
  • Clement Mzize – Yanga SC 🇹🇿 – Mabao 11
  • Elvis Rupia – Singida Black Stars 🇹🇿 – Mabao 10
  • Steven Mukwala – Simba SC 🇹🇿 – Mabao 9
  • Jonathan Sowah – Singida Black Stars 🇹🇿 – Mabao 9
  • Pacome Zouzoua – Yanga SC 🇹🇿 – Mabao 9
  • Leonel Ateba – Simba SC 🇹🇿 – Mabao 8
  • Peter Lwasa – Kagera Sugar 🇹🇿 – Mabao 8
  • Offen Chikola – Tabora United 🇹🇿 – Mabao 8
  • Stephane Aziz Ki – Yanga SC 🇹🇿 – Mabao 7
  • Gibril Sillah – Azam FC 🇹🇿 – Mabao 7
  • Seleman Mwalimu – Fountain Gate 🇹🇿 – Mabao 6
  • Nassor Saadun – Azam FC 🇹🇿 – Mabao 6
  • Paul Peter – Dodoma Jiji FC 🇹🇿 – Mabao 6
  • Heritier Makambo – Tabora United 🇹🇿 – Mabao 5
  • William Edgar – Fountain Gate 🇹🇿 – Mabao 5
  • Maabad Maulid – Coastal Union 🇹🇿 – Mabao 5
  • Seleman Bwenzi – KenGold FC 🇹🇿 – Mabao 5
  • Elie Makono – Fountain Gate 🇹🇿 – Mabao 5
  • Mishamo Daudi – KenGold FC 🇹🇿 – Mabao 5
  • Edward Songo – JKT Tanzania 🇹🇿 – Mabao 5

Vinara hawa wamekuwa wakihitimisha mashambulizi kwa ustadi mkubwa, na wanazidi kuonyesha kuwa mbio za kuwania kiatu cha dhahabu zitakuwa kali hadi mwisho wa msimu wa 2024/2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here