Michezo

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 Top Scorers

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 Top Scorers

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 Vinara Wa Magoli  Top Scores NBC premier League 2024/25, wanaoongoza NBC-tutaangalia orodha ya wachezaji wanao ongoza kuwa na Magoli mengi kwenye msimu wa ligi kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na benki Ya NBC.

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025

Katika kila msimu wa Ligi Kuu ya NBC, mbio za kumsaka mfungaji bora huwa ni za kuvutia na kuleta msisimko wa kipekee. Mashabiki wanakaa roho juu wakisubiri kuona nani ataibuka kuwa kinara wa mabao msimu huu.

Wachezaji wa vilabu mbalimbali, wakichanganya ujuzi na juhudi, wanatupa karata zao ili kuwania kiatu cha dhahabu — heshima ya juu kwa mfungaji aliyetikisa nyavu mara nyingi zaidi. Msimu wa 2024/2025 umejaa ushindani mkali, huku majina makubwa na chipukizi wakifanya kila wawezalo kutikisa nyavu na kuacha alama kwenye ulingo wa soka la Tanzania.

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Mpaka sasa Mwezi Huu

Top Tanzania Premier League 2025 goal scorers

NBC PREMIER LEAGUE SCORERS

RankPlayerClubPositionGoals
1Jean AhouaSimbaMidfielder12
2Clement MzizeYoung AfricansForward10
3Prince DubeYoung AfricansForward10
4Steven MukwalaSimbaForward9
5Elvis RupiaSingida BSForward9
6Leonel AtebaSimbaForward8
7Peter LwasaKagera SugarForward8
8Jonathan SowahSingida BSForward7
9Ki Stephane AzizYoung AfricansMidfielder7
10Gibril SillahAzamMidfielder7

Leave a Comment