Michezo

Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024

Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024

Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024

Klabu ya Simba imepanga kuazimisha sherehe ya kutambulisha wachezaji wake wapya ambao wamesajiliwa kujiunga na kikosi cha wekundu wa msimbazi msimu wa 2024/2025. Sherehe hiyo imepangwa kufanyika Agosti 3 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Katika sherehe io mashabiki watakao udhuria watapata fursa ya kuwajua wchezaji wote wa Simba pamoja na kupata burudani kutoka kwa wasanii maarufu mbalimbali. Hapa tumekuletea orodha ya maduka/Vituo vya kununua tiketi Simba Day 2024

List Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024

  1. Lampard Electronic – Makao Makuu Msimbazi
  2. Vunja Bei – Maduka Yote Dsm | Vunja Bei – Mbeya
  3. New Tech General Traders & Supplier – Ubungo (Yenu Bar)
  4. Sabana Business Center – Mbagala Maji Matitu
  5. Ttcl – Maduka Yote
  6. Juma Burrah – Msimbazi Center
  7. Alphan Mohamedi Ihinga – Ubungo (Oilcom)
  8. Mtemba Service Company – Temeke
  9. Jackson Kimambo – Ubungo Rombo
  10. Mkaluka Traders Limited – Machinga Complex
  11. View Blue Skyline – Mikocheni
  12. Robert Nyanyanganya Bululu – Kigamboni Ferry
  13. Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
  14. Khalfan Mohamed – Ilala Bungoni Mtaa Wa Binti Kamba
  15. Kibacho Juma – Morogoro Tuliani
  16. Karoshy Pamba Collection – Darlive (Zakhiem)
  17. Twisty Investment Company Ltd – Geita Mjini Soko La Madini
  18. Tawi La Simba Karume Unstoppable
  19. Fusion Posta
  20. Antonio Service Company – Sinza & Kivukoni
  21. Mwanaidi Yusufu Izina – Morogoro Tuliani
  22. Gwambina Lounge – Luwanja Wa Wa Tcc Sigara
  23. Godwin Fredy Mmari – Geita Mjini Mtaa Wa Nkoani

Leave a Comment