Vyuo Bora vya Afya vya Serikali Tanzania kwa Mwaka 2025/2026
Kwa wale wanaotafuta kujiunga na sekta ya afya nchini Tanzania, kuna idadi kubwa ya vyuo vya serikali vinavyotoa mafunzo bora katika ngazi mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026. Mwongozo huu umeandaliwa kukusaidia kuchagua chuo bora kulingana na kozi unayopendelea. Kozi zinazotolewa katika vyuo hivi ni pamoja na vyeti, stashahada, shahada, kozi za umahiri (bridging courses), kozi za masafa (open and distance learning), pamoja na ngazi ya uzamili.
Kozi Zinazotolewa na Vyuo vya Afya Vyuo hivi vinaendeshwa chini ya usimamizi wa serikali na baadhi kwa kushirikiana na taasisi binafsi zenye usajili kamili kutoka NACTVET. Kozi zinazopatikana zinajumuisha uuguzi, maabara, afya ya jamii, udhibiti wa magonjwa, rekodi za afya, dawa na nyinginezo. Watanzania wanaotamani kuwa wataalamu wa afya wana nafasi nzuri ya kujiunga na mojawapo ya vyuo hivi vinavyotambulika kitaifa.
Orodha ya Vyuo vya Afya vya Serikali Tanzania
Hapa chini ni baadhi ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya afya nchini Tanzania kwa mwaka wa 2025/2026:
- Rubya Health Training Institute
- Bishop Nicodemus Hhando College of Health Sciences
- Alvin Institute of Health and Allied Sciences
- Kolandoto College of Health Sciences
- David College of Health Sciences
- Joseph Health Training College
- Mkolani Foundation Health Sciences Training Institute
- Ndolage Institute of Health Sciences
- Makambako Institute of Health Sciences
- Imani College of Health and Allied Sciences
- Blue Pharma College of Health
- Ngudu School of Environmental Health Sciences
- Aggrey College of Health Science
- Msongola Health Training Institute
- Ilembula Institute of Health and Allied Sciences
- Mgao Health Training Institute
- Karagwe Institute of Allied Health Sciences
- Nyakahanga College of Health and Allied Sciences
- KCMC – Training Centre for Health Records Technology
- Augustine Muheza Institute of Health Sciences
- Furaha Health Training College
- Mount Ukombozi Health Sciences Training Centre
- Maximilliancolbe Health College
- New Mkombozi Health Institute
- Bishop Kisula College of Health and Allied Sciences
- Primary Health Care Institute
- Besha Health Training Institute
- Zanzibar School of Health
- New Mafinga Health and Allied Institute
- City College of Health and Allied Sciences
- Paradigms College of Health Sciences
- Machame Health Training Institute
- Uyole Health Sciences Institute
- Morogoro Public Health Nursing School
- Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)
- Rukwa College of Health Sciences
- Bakhita Health Training Institute
- Joseph University College of Health Sciences
- Kahama College of Health Sciences
- Santamaria Institute of Health and Allied Sciences
- Singida College of Health Sciences and Technology
- Njombe Institute of Health and Allied Sciences (NJIHAS)
- Apple Valley Institute of Health Sciences and Technology
- Decca College of Health and Allied Sciences – Dodoma
- Mwasenda College of Health Sciences – Mwanza
- Tosamaganga Institute of Health and Allied Sciences
- Biharamulo Health Sciences Training College
- Top One College of Health and Allied Sciences
- Mvumi Institute of Health Sciences
- Lugarawa Health Training Institute (LUHETI)
- Centre for Educational Development in Health Arusha
- Kigamboni City College of Health and Allied Sciences
- Tandabui Institute of Health Sciences and Technology
- Eckernforde Tanga University Institute of Health Sciences
- Mbalizi Institute of Health Sciences – Mbeya
- John College of Health
- Excellent College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
- Victoria Institute of Health and Allied Sciences
- Bulongwa Health Sciences Institute
- Amenye Health Training Institute
- Rao Health Training Centre
- Muyoge College of Health Sciences and Management
- Haydom Institute of Health Sciences
- K’s Royal College of Health Sciences
- City College of Health and Allied Sciences, Dodoma Campus
- Dodoma Institute of Health and Allied Sciences
- Shirati College of Health Sciences
- Kibaha College of Health and Allied Sciences
- Kam College of Health Sciences
- Karatu Health Training Institute
- Faraja Health Training Institute
- Lake Zone Health Training Institute
- Padre Pio College of Health and Allied Sciences
- Nkinga Institute of Health Sciences
- Decca College of Health and Allied Sciences – Nala Campus, Dodoma
- Kagemu School of Environmental Health Sciences
- Litembo Health Laboratory Sciences School
- Kilema College of Health Sciences
- Yohana Wavenza Health Institute
- Chato College of Health Sciences and Technology
- Huruma Institute of Health and Allied Sciences
- Sengerema Health Training Institute
- Pemba School of Health
- Mlimba Institute of Health and Allied Science
- Kisare College of Health Sciences
- Mbeya College of Health Sciences
- Suye Health Institute
- Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS)
- Tanzanian Training Centre for International Health
Taarifa Zaidi Kwa maelezo zaidi kuhusu kujiunga na vyuo hivi, vigezo vya udahili na miongozo ya maombi, tembelea tovuti rasmi ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTVET): https://www.nacte.go.tz
Ikiwa unalenga kujenga taaluma katika sekta ya afya nchini Tanzania, moja ya vyuo hivi ni chaguo sahihi kuanzia mwaka 2025/2026.