MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/05/2025
Tangazo la Kuitwa Kazini Kwa Waliofaulu Usaili
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa orodha ya waombaji kazi waliopata nafasi ya ajira baada ya mchakato wa usaili uliofanyika kati ya tarehe 15 Juni 2024 hadi 15 Aprili 2025. Orodha hiyo inajumuisha majina ya watu waliopitia hatua zote za usaili na kufuzu kwa mafanikio.
Walioitwa Kutoka Kanzidata
Pia, tangazo hili linawahusu baadhi ya waombaji waliokuwa kwenye kanzidata ya kada mbalimbali. Hawa wamefanikiwa kupangiwa vituo vya kazi baada ya kuwepo kwa nafasi wazi katika taasisi za umma.
Pakua Majina Kamili ya Walioitwa Kazini
Ili kuona orodha kamili ya majina ya walioitwa kazini, tafadhali pakua faili la PDF kupitia kiungo kilicho hapa chini:
👉 BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Muhimu Kujua
- Hakikisha unafuata maelekezo yaliyomo kwenye tangazo husika kuhusu kuripoti kazini.
- Wasiliana na taasisi husika endapo una changamoto au maswali zaidi.
- Orodha hii ni rasmi na imetolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Endelea kufuatilia matangazo rasmi ili kuendelea kupata taarifa mpya kuhusu nafasi za ajira na mchakato wa usaili katika sekta ya umma.
Leave a Comment