Ajira Tanzania

Nafasi za Kazi Vodacom Tanzania Mei 2025

Nafasi za Kazi Vodacom Tanzania Mei 2025

NAFASI za Kazi Vodacom Tanzania 2025 – Tuma Maombi Sasa

Vodacom Tanzania Yatangaza Nafasi Mpya za Ajira

Kampuni ya Vodacom Tanzania Limited, mojawapo ya kampuni kubwa na inayoongoza katika sekta ya mawasiliano nchini, imetangaza nafasi mpya za kazi kwa mwaka 2025. Ikiwa ni sehemu ya kundi la Vodacom Group, kampuni hii ilianza rasmi shughuli zake nchini baada ya kupatiwa leseni ya kuendesha huduma za simu za mkononi aina ya GSM mnamo Desemba 1999.

Vodacom Tanzania ilikuwa kampuni ya pili barani Afrika baada ya kampuni mama, kuwasha teknolojia ya 3G (High-Speed Downlink Packet Access – HSDPA), ambayo ilianza kupatikana jijini Dar es Salaam tangu mwaka 2007.

Fursa za Kazi kwa Watanzania Wenye Sifa

Kwa sasa, Vodacom Tanzania inawaalika Watanzania wenye vigezo vinavyohitajika kutuma maombi ya kazi kwenye nafasi mbalimbali zilizo wazi. Hii ni fursa ya kipekee kwa wale wenye nia ya kujiunga na kampuni inayojali wafanyakazi wake na kutoa mazingira bora ya kazi na mafanikio ya kitaaluma.

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Nafasi za Kazi Vodacom

Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia tovuti rasmi ya ajira ya kampuni hiyo. Bonyeza kiungo hapa chini kuangalia nafasi zote zilizotangazwa na kutuma maombi:

👉 BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI