Ajira Tanzania

Nafasi za Kazi Barrick North Mara Gold Mine Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Barrick North Mara Gold Mine Tanzania 2025

NAFASI za Kazi Barrick Gold Mine – North Mara

Fursa za Ajira Mgodi wa Dhahabu North Mara

Mgodi wa dhahabu wa North Mara upo katika wilaya ya Tarime, mkoani Mara, kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Eneo hili liko takriban kilomita 100 mashariki mwa Ziwa Victoria na kilomita 20 kutoka mpaka wa Kenya.

Mgodi huu ulianza uzalishaji rasmi wa kibiashara mwaka 2002 na unajumuisha shughuli za uchimbaji wa shimo la wazi na chini ya ardhi kupitia maeneo ya Gokona (uchimbaji wa chini ya ardhi) na Nyabirama (shimo wazi).

Kwa sasa, Barrick North Mara inatangaza nafasi mbalimbali za kazi kwa Watanzania wenye sifa. Fursa hizi ni sehemu ya juhudi za kukuza timu ya wataalamu na kuongeza ufanisi wa uzalishaji katika mgodi huo.

Ikiwa unatafuta kazi kwenye sekta ya madini, hii ni nafasi nzuri ya kujiunga na kampuni kubwa ya kimataifa inayojali maendeleo ya wafanyakazi wake.

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Kazi Barrick North Mara

Wale wote wanaovutiwa na fursa hizi wanaweza kutembelea tovuti rasmi ya Barrick Gold kwa kutazama ajira zote na kutuma maombi moja kwa moja mtandaoni.

BONYEZA HAPA KUANGALIA NAFASI ZOTE NA KUTUMA MAOMBI

Usikose nafasi yako ya kuwa sehemu ya mafanikio katika sekta ya madini kupitia Barrick North Mara.

Leave a Comment