Ajira Tanzania

Nafasi 19 Za Kazi Mjnuat University – TANGAZO LA AJIRA 2025

Nafasi 19 Za Kazi Mjnuat University

Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwalimu Julius K. Nyerere (MJNUAT), kilichoanzishwa mwaka 2012 na chenye makao yake makuu Butiama – Mkoa wa Mara, kinatangaza nafasi 19 za kazi kwa watanzania waliobobea na wanaokidhi vigezo. Nafasi hizi ni sehemu ya maandalizi ya kuongeza udahili wa wanafunzi na kuanzisha programu mpya kwa mwaka wa masomo 2025/2026 chini ya Mradi wa HEET.

Nafasi Zinazopatikana MJNUAT UNIVERSITY

1. Assistant Lecturer – Animal Science and Production (Nafasi 3)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Animal Science, Livestock Production, au maeneo yanayohusiana.
  • GPA ya angalau 4.0 kwa Shahada ya Uzamili na 3.8 kwa Shahada ya Kwanza.
  • Waliohitimu kwa thesis wanapaswa kuwa na machapisho mawili kwenye majarida ya kitaaluma.

Majukumu:

  • Kufundisha na kuendesha semina/practical.
  • Kufanya utafiti na kuchapisha matokeo.
  • Kushiriki huduma kwa jamii n.k.

Mshahara: PUTS 2.1

2. Assistant Lecturer – Beekeeping Science and Technology (Nafasi 4)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Beekeeping Sciences au Bee Taxonomy.
  • GPA ya angalau 4.0 (Uzamili) na 3.8 (Shahada ya Kwanza).

Mshahara: PUTS 2.1

3. Assistant Lecturer – Education (Agricultural Science and Biology) (Nafasi 3)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Agricultural Education, Extension, au Biotechnology.
  • GPA 4.0 (Uzamili) na 3.8 (Shahada ya Kwanza).

Mshahara: PUTS 2.1

4. Assistant Lecturer – Forestry (Nafasi 4)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Forestry, Environmental Economics, au Natural Resources Management.
  • GPA 4.0 (Uzamili) na 3.8 (Shahada ya Kwanza).

Mshahara: PUTS 2.1

5. Assistant Lecturer – Entrepreneurship (Nafasi 2)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Entrepreneurship, Business Admin, Accounting & Finance.
  • GPA 4.0 (Uzamili) na 3.8 (Shahada ya Kwanza).

Mshahara: PUTS 2.1

6. Assistant Lecturer – Food Science and Technology (Nafasi 3)

Sifa:

  • Shahada ya Uzamili katika Food Science, Technology, Biotechnology, au Engineering.
  • GPA 4.0 (Uzamili) na 3.8 (Shahada ya Kwanza).

Mshahara: PUTS 2.1

Masharti ya Jumla

  • Waombaji wote wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
  • Watumishi wa Umma lazima wapitishe maombi yao kwa waajiri wao.
  • Waombaji waambatishe nakala za vyeti (shule na chuo), CV, na picha ndogo (passport size).
  • Maombi yatakayokosa vigezo hayawezi kufikiriwa.

Jinsi ya Kuomba

Waombaji wote wanapaswa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa ajira wa chuo au utumishi:

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YA KAZI

Mwisho wa kutuma maombi: Tafadhali hakikisha unatuma maombi yako mapema kabla ya tarehe ya mwisho itakayotangazwa.

Leave a Comment