Lyrics

Mbosso – Ova Lyrics

Mbosso – Ova Lyrics

Mbosso – Ova Lyrics | Download Mp3

Mbosso, born Mbwana Yusuph Kilungi, is a talented Tanzanian recording artist known for his captivating voice and engaging performances. Formerly a member of the Yamoto Band and currently signed under WCB Wasafi, he has recently released a new hit titled “Ova.” Below are the lyrics to this scorching banger:

Lyrics to “Ova”

Vishavu vimeanza kunona
Kitambi ndo hichi sasa ona
Nitazame, nanenepa nanenepa
Nami nimempata chioma

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kunitukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Shilingi shilingi shilingi
Shilingi yatutoa roho shilingi
Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
Shilingi ya ua mapenzi

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

DOWNLOAD OVA MP3 BELOW

Audio: Mbosso – Ova | Mp3 Download

Leave a Comment