Matokeo Yanga SC Dhidi ya Fountain Gate Leo Tarehe 21 Aprili 2025

0
Matokeo ya Fountain Gate vs Yanga Leo

Katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2024/2025, klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopigwa leo Aprili 21, 2025 kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT). Mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Fountain Gate, ambapo timu mwenyeji ilijaribu kutumia faida ya nyumbani, lakini ilishindwa kuzizuia juhudi za mabingwa watetezi.

Matokeo ya Fountain Gate vs Yanga Leo

TimuBao
Fountain Gate0
Yanga SC4

Msimamo wa Timu Kabla ya Mchezo

Kabla ya mchezo huu, Yanga SC walikuwa vinara wa ligi wakiwa na pointi nyingi zaidi huku wakionesha ubora wa hali ya juu msimu huu. Kwa upande wao, Fountain Gate walikuwa wakishikilia nafasi ya kati kwenye msimamo wa ligi, wakipambana kujiweka salama dhidi ya hatari ya kushuka daraja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here