Matokeo ya Uhamiaji Leo Agosti 18, 2024 Dhidi ya Al Ahli Tripoli: Kombe la Shirikisho Afrika, Matokeo ya Uhamiaji vs Al Ahli Tripoli Leo Agosti 18, Matokeo ya Uhamiaji Fc Leo Dhidi ya Al Ahli
Leo tarehe 18 Agosti 2024, klabu ya Uhamiaji kutoka Zanzibar itapambana na Al Ahli Tripoli ya Libya katika mechi ya hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huu muhimu utapigwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli, jijini Tripoli, na utachezwa saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, baada ya kubadilishwa kutoka saa 9:30 alasiri kama ilivyokuwa imepangwa awali.
Uhamiaji FC imepata fursa hii ya kushiriki michuano baada ya Chipukizi ya Pemba, waliokuwa washindi wa Kombe la Shirikisho (ZFF), kujitoa kutokana na matatizo ya kifedha. Hali hii iliwafanya maafande wa Uhamiaji kupewa nafasi hiyo na kuamua kucheza mechi zao zote za awali huko Tripoli, kama ilivyokuwa kwa klabu ya JKU.
Matokeo ya Uhamiaji vs Al Ahli Tripoli Leo 18/08/2024
Uhamiaji | VS | Al Ahli Tripoli |
Leave a Comment