Matokeo ya Simba Vs Coastal union Leo Ngao ya Jamii 11/08/2024 | Matokeo ya Simba Dhidi ya Coastal union Leo
Leo, Agosti 11, 2024, Uwanja wa Benjamin Mkapa utashuhudia mtanange wa kusisimua kati ya wekundu wa msimbazi Simba Sc na wagosi wa kaya Coastal Union katika mechi ya kuamua mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii 2024. Mechi hii inatarajiwa kuanza majira ya saa tisa alasiri, ikiwapa mashabiki wa soka burudani ya kipekee kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC.
Matokeo ya Simba Vs Coastal union Leo Ngao ya Jamii 11/08/2024
Simba | 1-0 | Coastal union |
Mchezo umeanza ,Dakika ya 06 Simba 0-0 Coastal UnionDakika ya 10 Saleh Karabaka anaitanguliza SimbaDakika ya 29 Simba 1-0 Coastal UnionMapumziko; Simba 1-0 Coastal Union |
Mchezo huu unatarajiwa kuwa wwenye mvuto wa kipekee, huku timu zote zikiwa na hamu ya kumaliza michuano kwa ushindi. Mashabiki wa soka wanaweza kutarajia burudani ya hali ya juu na soka la kuvutia kutoka kwa timu zote mbili. Je, Simba Sc wataweza kujikomboa na kupata ushindi, au Coastal Union watashangaza wengi na kuibuka washindi? Jibu litapatikana kesho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Leave a Comment