Michezo

Matokeo ya Kengold FC vs Singida Black Stars Leo + Video 18/08

Matokeo ya Kengold FC vs Singida Black Stars
Matokeo ya Kengold FC vs Singida Black Stars

Kengold FC vs Singida Black Stars Leo

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kusisimua na leo, mashabiki wa soka nchini watapata burudani ya kipekee kutoka kwenye mtanange kati ya Kengold FC na Singida Black Stars. Mchezo huu unafanyika leo, tarehe 18 Agosti 2024, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ukiwa ni miongoni mwa mechi zinazovutia zaidi katika ratiba ya ligi.

Kengold Fc 1 – 3Singida Black Stars
Magoli yote kati ya Kengold FC na Singida Black Stars Leo VIDEO

Taarifa Muhimu za Mchezo

🏆 NBC Tanzania Premier League
Kengold FC vs Singida Black Stars
📆 Tarehe: 18 Agosti 2024
🏟 Mahali: Uwanja wa Sokoine, Mbeya
🕖 Muda: Saa 8:00 Mchana

Hii ni mechi ya kwanza kwa KenGold FC kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo ina uzito maalum kwa timu hii. Kwa upande mwingine, Singida Black Stars, chini ya mwalimu Patrick Aussems, inajiandaa kuonyesha uwezo wake baada ya kuwa na misimu miwili kwenye ligi, ingawa huu ni msimu wao wa kwanza wakitumia jina la Singida BS. Kwa sasa, timu inajivunia wachezaji wenye vipaji vikubwa kutoka ndani na nje ya Tanzania, jambo linaloongeza ushindani kwenye mchezo huu.

Matokeo ya Kengold FC vs Singida Black Stars Leo: Kengold FC VS Singida Black Stars

Mechi hii inatarajiwa kutoa burudani ya kiwango cha juu huku mashabiki wakisubiri kuona nani ataibuka na ushindi.

Leave a Comment