Matokeo Simba Vs Tabora United Leo, 18 Agosti Ligi Kuu, Matokeo ya Simba Leo Dhidi ya Tabora United
Leo tarehe 18 Agosti 2024, klabu ya Simba SC itashuka dimbani kuikabili Tabora United katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/2025. Mechi hii itafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ikitarajiwa kuanza saa 10:15 jioni.
Mchezo huu unachukuliwa kwa uzito mkubwa na mashabiki wa Simba SC ambao wanamategemeo makubwa ya kuona timu yao ikianza msimu mpya kwa kishindo baada ya kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu kwa misimu mitatu mfululizo.
Matokeo Simba Vs Tabora United Leo
Simba Sc | 3 – 0 | Tabora United |
Simba SC Vs Tabora United Leo 18/08/2024
Simba SC ilianza safari yao ya kutafuta ubingwa kwa mchezo mkali dhidi ya Tabora United. Matokeo ya mchezo huu yatatoa mwanga kuhusu mwelekeo wa timu hizi mbili katika msimu mzima wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Mashabiki wana matumaini ya kuona mabadiliko makubwa kutoka kwa timu zao pendwa msimu huu.
Leave a Comment