Simba SC vs Al Ahli Tripoli Mechi ya Marudiano ya Kombe la Shirikisho la CAF
Timu ya Simba SC itashuka dimbani tena kukutana na Al Ahli Tripoli katika mechi ya kufuzu Kombe la Shirikisho la CAF tarehe 22 Septemba 2024. Mechi hii itapigwa saa 16:00 kwa saa za Afrika Mashariki. Hii ni mechi muhimu baada ya sare ya bila kufungana iliyosajiliwa kwenye mechi ya awali iliyochezwa wiki iliyopita.
Simba | 3 – 1 | Ahli Tripoli |
Magoli ya Simba vs Al Ahli Tripoli – Leo
Simba vs Al Ahli Tripoli – Mechi ya Marudiano CAF!
Simba SC, ambao wanajulikana kwa uwezo wao wa kujilinda kwa ufanisi, wamekuwa kwenye msururu mzuri wa mechi 5 bila kupoteza. Sare ya 0-0 dhidi ya Al Ahli Tripoli iliwapa nafasi nzuri ya kuendeleza mfululizo wao wa mechi bila kuruhusu bao. Ulinzi wao imara umekuwa ukichangia sana katika matokeo yao ya hivi karibuni, ambapo wamepata “clean sheet” kwenye mechi zote 5 zilizopita.
Soma Pia: Kikosi cha Simba VS Al Ahli Tripoli Tarehe 22 September 2024
Simba vs Al Ahli Tripoli Mechi ya Shirikisho CAF
Al Ahli Tripoli nao wanajivunia mfululizo wa mechi 4 bila kupoteza, wakiwa na sare dhidi ya Simba kwenye mechi ya awali. Timu hii kutoka Libya imeonyesha uwezo wa kupambana na kuzuia wapinzani wao kupata mabao, jambo ambalo limewapa matokeo mazuri kwenye mechi za hivi karibuni.
Leave a Comment