Michezo

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 Groups stage

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 Groups stage

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF Confederation Cup Groups Stage

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (Caf Confederation Cup Groups) | Makundi ya Confederation Cup

Shirikisho la mpira wa miguu Barani Afrika (CAF), limetangaza rasmi makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025, baada ya droo iliyofanyika jijini Cairo, Misri. Droo hii iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imepangilia timu 16 katika makundi manne, ambapo kila kundi lina timu nne zitakazochuana vikali kuwania nafasi ya kuingia hatua ya robo fainali.

Msimu huu unatarajiwa kuwa wenye ushindani mkubwa, huku timu kubwa na zenye uzoefu kama Zamalek SC ya Misri, Simba Sc ya Tanzania, ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stellenbosch kutoka Afrika Kusini na nyingine nyine zikiwa zimepangwa katika makundi tofauti. Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia kushuhudia mechi kali zenye ushindani wa hali ya juu na kandanda safi la kuvutia, huku kila timu ikipambana kuonyesha ubora wake na kutafuta tiketi ya kuendelea katika michuano hii mikubwa.

Baada ya droo hii, wachambuzi wa soka wameanza kutoa maoni yao kuhusu makundi, huku wengi wakitabiri kuwa Kundi C litakuwa “kundi la kifo” kutokana na uwepo wa timu zenye nguvu kama USM ALger na Asec Mimosa. Hata hivyo, michuano hii imekuwa na misukosuko mingi hapo awali, na hakuna anayeweza kutabiri kwa uhakika ni timu gani itaibuka kidedea.

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 Groups stage

Leave a Comment