MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA na TEMESA

0
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA na TEMESA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili NECTA na TEMESAMAJINA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-04-2025 hadi 08-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here