Clean Sheets NBC Premier League 2024/25 – Kipa Bora Ni Nani?
Orodha ya Top 13 Goalkeepers Waliofanya Vizuri Kwenye Ligi Kuu 2024/25
Katika msimu wa NBC Premier League 2024/2025, baadhi ya magolikipa wameonyesha ubora wa hali ya juu kwa kutoruhusu magoli mechi nyingi. Makala hii inakuletea orodha ya waliotawala kwenye idadi ya clean sheets hadi sasa.
Top 13 Goalkeepers – NBC Premier League 2024/2025
- Moussa Camara – Simba SC = 15
- Djigui Diarra – Yanga SC = 14
- Patrick Muthali – Mashujaa FC = 12
- Mohamed Mustapha – Azam FC = 10
- Yona Amosi – Pamba Jiji = 09
- Yakoub Suleiman – JKT Tanzania = 08
- Metacha Mnata – Singida Black Stars = 07
- Mussa Mbisa – Tanzania Prisons = 04
- Zuberi Foba – Azam FC = 04
- Ngeleka Katumbua – Dodoma Jiji = 04
- Denis Donis – JKT Tanzania = 03
- Fabien Mutombora – KMC FC = 03
- Aboutwalib Mshery – Yanga SC = 03
Je, Nani Atamaliza Kwenye Nafasi ya Juu?
Kufikia hatua hii ya msimu, ushindani ni mkali hasa kati ya Moussa Camara na Djigui Diarra. Uwezo wao umeisaidia Simba SC na Yanga SC kuwa miongoni mwa timu ngumu zaidi kuvunjika kimuundo.