Kikosi Kipya cha KenGold FC kwa Msimu wa 2024/2025
Klabu ya KenGold FC, iliyopo Mbeya, imepata mafanikio makubwa baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 (NBC Championship). Ushindi huu umewapa nafasi ya kupanda daraja na sasa watachuana katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025. Hapa chini ni orodha ya wachezaji wote wanaounda kikosi cha KenGold FC kwa msimu huu mpya wa Ligi Kuu.
Makipa wa KenGold FC
- Castor Muhagama
- Mussa Mussa
Mabeki wa KenGold FC
- Asanga Stalon
- Amuken Lubinda
- Tungu Robert
- Steven Mganga
- Castor Costa
- Makenzi Kapinga
- Charles Masai
- Salum Iddrisa
- Bilal Amin
- Ambukise Mwaipopo
- Martin Kazila
Viungo wa KenGold FC
- Masoud Cabaye
- Hamad Nassoro
- Said Mandazi
- George Sangija
- Amir Njeru
Washambuliaji wa KenGold FC
- Adam Uled
- Emmanuel Mpuka
- Mshamu Daud
- James Msuva
- Salum Chobwedo
- Hija Ugando
- Poul Materazi
- Herbert Lukindo
- Kelvin Nurki
- Joshua Ibrahim
Benchi la Ufundi la KenGold FC
- Fikiri Elias – Kocha Mkuu
- Luhaga Makunja – Kocha Msaidizi
- Jumanne Charles – Kocha Msaidizi
- Aswile Asukile – Kocha wa Makipa
- Nuhu Mkolekwa – Meneja wa Timu
- Stanley Ndimwene – Daktari wa Timu
- Latifu Masesa – Meneja wa Vifaa
KenGold FC inatarajiwa kuleta ushindani mkali katika msimu huu wa Ligi Kuu, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuona jinsi kikosi hiki kipya kitakavyojitokeza na kufanya maajabu.
Leave a Comment