Kikosi Cha Yanga SC Vs CBE Leo Septemba 21, 2024
Yanga SC Kukutana na CBE Katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Young Africans Sports Club (Yanga SC) inajiandaa kukutana tena na Benki ya Ethiopia (CBE) leo, Septemba 21, 2024, katika mechi ya marudiano ya Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Kikosi Cha Yanga SC Leo Dhidi ya CBE
Yanga SC wameshinda mechi yao ya kwanza dhidi ya CBE, na sasa wanahitaji kusimama imara ili kuhakikisha wanasonga mbele katika hatua inayofuata ya mashindano. Kikosi kitakachocheza leo kina mchanganyiko wa wachezaji wenye uzoefu na vijana, ambao wameonyesha ubora wao kwenye mechi zilizopita.
- Diarra
- Boka
- Mwamnyeto
- Job
- Bacca
- Aucho
- Max
- Mudathiri
- Dube
- Aziz K
- Pacome
Leave a Comment