KIKOSI Cha Simba SC vs Stellenbosch 27 April 2025

0
KIKOSI Cha Simba SC vs Stellenbosch 27 April 2025

Kikosi Rasmi cha Simba SC Dhidi ya Stellenbosch – CAF Confederation 27 April 2025

Mchezo wa Mkondo wa Pili CAF Confederation Cup

Klabu ya Simba SC inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa mkondo wa pili wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025.

Mchezo huo umepangwa kuchezwa tarehe 27 Aprili 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, uliopo Afrika Kusini, kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Habari Web Blog Yaleta Kikosi Rasmi

Kuelekea mchezo huo muhimu, MichezoLeo Blog itakuletea taarifa kamili ya Kikosi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya Stellenbosch FC, mara tu kitakapothibitishwa rasmi na benchi la ufundi.

Mashabiki wa Simba SC na wapenda soka kwa ujumla wanatarajia kuona kikosi imara kitakachoweza kupambana vilivyo na kuipa Simba nafasi ya kufuzu Fainali ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here