Jamii

Dida Shaibu Afariki Dunia Oktoba, 4, 2024

Dida Shaibu Afariki Dunia Oktoba, 4, 2024

Mtangazaji Wa Wasafi FM Dida Shaibu Afariki Dunia Oktoba, 4, 2024

Mtangazaji Wa Wasafi FM Dida Shaibu Afariki Dunia jioni ya leo Oktoba, 4, 2024

Mtangazaji maarufu Dida Shaibu wa Wasafi FM katika kipindi kijulikanacho kama kipindi cha Mashamsham afariki dunia jioni hii ya leo Oktober 4-2024 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI:

Uongozi wa Wasafi Media Unasikitika Kutangaza Kifo Cha aliyekua Mtangazaji wa Kipindi Cha Mashamsham cha Wasafi FM Khadija Shaibu ( Maarufu kama Dida) . 

Dida atakumbukwa kwa Uhodari wake na Ubora wake Kwenye Tasnia ya Habari, Uliompelekea Kuwa Mtangazaji Namba Moja wa Kike Nchini na Kuwa Kioo kwa Wanawake na Watangazaji Wengi waliokua wanamtazama kama Mfano . 

Tunaungana na Ndugu , Jamaa na Marafiki Wote Kusheherekea Maisha Ya DIDA , Na Kuenzi Yale Mengi Mazuri aliyoyafanya Kwenye Jamii na Tasnia ya Uandishi wa Habari . 

Leave a Comment