Matokeo ya Inter vs Bayern: Nerazzurri Waleta Furaha kwa Ushindi
Matokeo ya Inter vs Bayern Soma hapa kujua jinsi Inter walivyowashinda Bayern na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa!
Matokeo ya Real Madrid vs Arsenal: Gunners Yawaduwaza Mabingwa
Je, unataka kujua matokeo ya Real Madrid dhidi ya Arsenal? Soma makala haya kujua jinsi Arsenal walivyowashangaza Real Madrid katika Ligi ya Mabingwa!
Victor Osimhen Aweka Wazi Hatma Yake, Akaribia Kuondoka Galatasaray
Victor Osimhen azungumzia hatma yake huku akihusishwa na vilabu vya EPL; Galatasaray yatamani abaki licha ya msimu bora Uturuki.
Simba na Yanga Katika Vita ya Kumsajili Fei Toto wa Azam
Simba na Yanga waanza harakati za kumsajili Fei Toto huku Azam ikimwekea ofa ya zaidi ya Sh900 milioni, lakini kiungo huyo ang’ang’ania kwenda nje.
Ratiba Kamili ya Muungano Cup 2025
Tazama ratiba ya Muungano Cup 2025 kuanzia robo fainali hadi fainali itakayopigwa Aprili 30 kwenye uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar.
Viingilio vya Mechi ya Simba vs Stellenbosch Aprili 20
Viingilio Simba vs Stellenbosch Aprili 20 vimetangazwa rasmi; tiketi kuuzwa kwa mfumo wa N-Card pekee kupitia vituo vilivyoidhinishwa.
Matokeo ya Bournemouth vs Fulham: Nani Alishinda? (Apr 14, 2025)
Pata matokeo ya mechi ya kusisimua kati ya Bournemouth na Fulham iliyochezwa tarehe 14 Aprili 2025. Matokeo ya Bournemouth vs Fulham
Matokeo ya Atlético Madrid vs Valladolid: Goli la Ushindi!
Je, Atlético Madrid waliweza kuwashinda Valladolid? Pata matokeo ya Atlético Madrid vs Valladolid na muhtasari wa mechi hapa.
Singida Black Stars VS Simba Nusu Fainali ya Kombe la FA
Singida Black Stars VS Simba nusu fainali FA baada ya kuifunga Kagera Sugar; JKT Tanzania nao watakutana na mshindi wa Yanga vs Stand United.
SIMBA vs Stellenbosch: Nusu Fainali CAF Kuhamishiwa Zanzibar
SIMBA vs Stellenbosch: Simba SC kuikaribisha Stellenbosch FC Zanzibar katika nusu fainali ya CAF, baada ya Benjamin Mkapa kufungwa kwa muda na TFF.
Vilabu bora Afrika 2024/2025 kwa mujibu wa CAF
Orodha ya Vilabu bora Afrika 2024/2025 kwa mujibu wa CAF. Al Ahly yaongoza, Simba na Yanga zasogea juu kwa pointi za mashindano ya kimataifa.
Ratiba ya CRDB Federation Cup 2025 – Mechi za Robo na Nusu Fainali
Ratiba ya CRDB Federation Cup 2024/2025 ikijumuisha robo fainali na nusu fainali, Simba, Yanga, na timu zingine zikisaka taji la msimu huu.
Ratiba ya Nusu Fainali CAF Champions League 2024/2025
Tazama ratiba kamili ya nusu fainali CAF 2024/2025 kati ya Mamelodi Sundowns, Al Ahly, Orlando Pirates na Pyramids FC.
MATOKEO Simba vs Mbeya City Leo – CRDB Federation Cup (13 Aprili 2025
Simba SC yaichapa Mbeya City 3-1 katika Robo Fainali ya CRDB Federation Cup 13 Aprili 2025, mabao yakifungwa na Ngoma, Ateba na Mutale.