Man Utd Wafanya Miujiza Old Trafford, Wafufua Ndoto za Europa League
Man Utd walifanya miujiza dhidi ya Lyon kwa kushinda 5-4 kwa jumla, wakirejea kutoka nyuma kwa dakika za lala salama katika Europa League.
Tetesi za Soka – Arsenal na Real Madrid Waingia Sokoni
Arsenal wanamuwinda Kingsley Coman, huku Real Madrid wakigeukia Haaland. Tetesi zote kuu za usajili Ulaya ziko hapa leo Ijumaa.
Mapambano ya Taasisi za Serikali Ligi Kuu Tanzania Bara Leo
Tanzania Prisons vs JKT Tanzania na KMC vs Dodoma Jiji leo Ligi Kuu. Mechi muhimu kwa waliopo chini kuepuka kushuka daraja.
Azam FC Yarudi Vitani Kusaka Nafasi ya Nne Bora
Kocha wa Azam FC Rachid Taoussi asema timu yake bado inawania nafasi ya nne bora Ligi Kuu huku wakijiandaa kuivaa Kagera Sugar ugenini.
CAF Yapiga Faini MC Alger na Esperance kwa Vurugu za Mashabiki
CAF yaziadhibu MC Alger na Esperance kwa vurugu za mashabiki na maofisa wao kwenye mechi za robo fainali dhidi ya Pirates na Sundowns.
Stellenbosch wapo kwenye kiwango bora, Simba SC Wana Kibarua Kigumu CAFCC
Stellenbosch wapo kwenye kiwango bora sana, Simba SC wanakutana na changamoto kubwa kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF.
Yanga Yawinda Kumsajili Henock Inonga kwa Lengo Maalum
Yanga SC waanza mchakato wa kumrejesha beki Henock Inonga Baka ili kuimarisha safu ya ulinzi kwa msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC.
Yanga Yawania Kumsajili Tena Fei Toto Kuziba Nafasi ya Stephane Aziz Ki
Yanga SC yampa ofa nono Fei Toto ya kurudi Jangwani kuziba nafasi ya Aziz Ki, ikiwemo mshahara mkubwa, gari na nyumba ya kifahari.
Makudubela Ametisha Congo Baada ya Kukosa Kung’ara Yanga
Skudu Makudubela ambaye hakufaulu Yanga sasa ni moto wa kuotea mbali Congo, akifunga mabao 10 na kutoa assist 4 kwenye mechi 6 tu.
Ratiba ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho CRDB 2024/2025
Yanga vs JKT Tanzania na Simba vs Singida Black Stars kucheza Nusu Fainali CRDB Federation Cup Mei 16-18, 2025.
Matokeo ya Inter vs Bayern: Nerazzurri Waleta Furaha kwa Ushindi
Matokeo ya Inter vs Bayern Soma hapa kujua jinsi Inter walivyowashinda Bayern na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa!
Matokeo ya Real Madrid vs Arsenal: Gunners Yawaduwaza Mabingwa
Je, unataka kujua matokeo ya Real Madrid dhidi ya Arsenal? Soma makala haya kujua jinsi Arsenal walivyowashangaza Real Madrid katika Ligi ya Mabingwa!
Victor Osimhen Aweka Wazi Hatma Yake, Akaribia Kuondoka Galatasaray
Victor Osimhen azungumzia hatma yake huku akihusishwa na vilabu vya EPL; Galatasaray yatamani abaki licha ya msimu bora Uturuki.
Simba na Yanga Katika Vita ya Kumsajili Fei Toto wa Azam
Simba na Yanga waanza harakati za kumsajili Fei Toto huku Azam ikimwekea ofa ya zaidi ya Sh900 milioni, lakini kiungo huyo ang’ang’ania kwenda nje.