Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 inaanza Agosti 16. Timu 16, mizunguko 30, Yanga SC mabingwa watetezi.
Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025
Yanga SC yazindua jezi mpya za nyumbani, ugenini, na mbadala kwa msimu wa 2024/25, zikipatikana kwa Tsh 45,000.
Jezi Mpya Za Manchester United 2024/25
Jezi mpya za Manchester United kwa msimu wa 2024/25 zimewasili zikiwa na muundo wa kuvutia na rangi za kipekee. Adidas na Snapdragon, wadhamini wa jezi za United
Jezi Mpya za Azam FC 2024/2025
Azam FC imetangaza jezi zake mpya za msimu wa 2024/2025. Uzinduzi rasmi utafanyika Dar es Salaam na Unguja. Jezi Mpya za Azam FC
Simba na Yanga: Nani Mwenye Rekodi Bora?
Angalia rekodi za mabao kati ya Simba na Yanga katika Dabi ya Kariakoo na ni timu gani iliyofunga zaidi.
Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025 Premier League
Msimamo wa NBC Premier League 2024/2025: Yanga SC yaongoza, Simba na Azam wakifuatia. Angalia alama, nafasi na takwimu kamili za vilabu.
CAF Yapiga Faini MC Alger na Esperance kwa Vurugu za Mashabiki
CAF yaziadhibu MC Alger na Esperance kwa vurugu za mashabiki na maofisa wao kwenye mechi za robo fainali dhidi ya Pirates na Sundowns.
VILABU 30 BORA AFRIKA 2024/25: Simba na Yanga Wapanda Chati CAF!
Orodha kamili ya vilabu 30 bora Afrika baada ya robo fainali. CAF Club Ranking 2024/25: Simba SC yatinga Top 4, Yanga SC nafasi ya 11.
Tetesi za Usajili Ulaya Leo Jumatatu, 21 April 2025
Tetesi za Usajili Ulaya Leo Jumatatu, Liverpool na Man United wametajwa kumwania Xavi Simons wa RB Leipzig huku bei yake ikifikia £70m.
Ratiba Kamili ya Muungano Cup 2025
Tazama ratiba ya Muungano Cup 2025 kuanzia robo fainali hadi fainali itakayopigwa Aprili 30 kwenye uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar.
Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/2025
Angalia msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/2025. Pata matokeo, pointi, na takwimu zote muhimu za vilabu vya soka Tanzania.
Azam FC Yarudi Vitani Kusaka Nafasi ya Nne Bora
Kocha wa Azam FC Rachid Taoussi asema timu yake bado inawania nafasi ya nne bora Ligi Kuu huku wakijiandaa kuivaa Kagera Sugar ugenini.
Wafungaji Bora NBC 2024/25 Ligi Kuu Tanzania
Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2024/25 hadi Aprili 10. Ahoua na Dube watinga kileleni na mabao 12 kila mmoja.
Matokeo Yanga SC Dhidi ya Fountain Gate Leo Tarehe 21 Aprili 2025
Yanga SC yaibuka na ushindi wa goli 4 dhidi ya Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC leo Aprili 21, 2025.