Mashabiki wa Simba SC wanakaribishwa kujiandaa mapema kwa mechi kali ya Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya RS Berkane itakayopigwa tarehe 25 Mei 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar kuanzia saa 10:00 jioni. Tiketi sasa zinapatikana katika vituo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar.
Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Simba vs RS Berkane
Vituo vya Tiketi Tanzania Bara
1. Lampard Electronics – Makao Makuu ya Simba, Msimbazi
2. Khalfani Mohammed – Ilala Bungoni
3. Vunja Bei Shops – Maduka yote ya Vunja Bei, Dar es Salaam
4. Karoshy Pamba Collection – Dar Live
5. New Tech General Traders – Yenu Bar
6. Fusion Sports Wear – Posta DSM
7. Sabana Business Center – Mbagala Maji Matitu
8. Gwambina Lounge – Temeke karibu na DUCE
9. Maduka ya TTCL – Kanda zote za Dar es Salaam
10. Antonio Service Co. – Sinza na Kivukoni
11. Juma Burrah – Msimbazi Center
12. Gisela Shirima – Mtaa wa Dahomey
13. Halphani Hingaa – Dilcom, Ubungo
14. Tumpe Kamwela – Kigamboni
15. Mtemba Service Company – Temeke
16. Sovereign Co. – Kinondoni Makaburini
17. Jackson Kimambo – Ubungo Rombo
18. Gitano Samwel – Mbagala Zakhem
19. Mkaluka Traders Ltd – Machinga Complex
20. Robert Nyabululu – Ferry, Kigamboni
21. Tawi la Simba – Karume Unstoppable
22. Nicovic Enterprises – Oilcom

Vituo vya Tiketi Zanzibar
1. Amaan Stadium
2. Hamid – Bububu
3. Mohamed Zahran Abdulla
4. Issa Yunus Issa – Fuoni Melinne
5. Bandarini – Mkoani, Pemba
6. Mwinyi Mwinyi – Mwanakwerekwe
7. Shadrack Kimario – Kariakoo Mchina Tambi
8. Carwash
9. Nuhu Jumanne Ally – Bububu Skuli
10. TTCL Office – Kijangwani
11. Rashid Issa Juma – Fuoni Mambo Sasa Nawaslilisha
12. Suleiman – Kwerekwe Sokoni
13. Lukuman Omar Khamis – Radio One Daraja Bovu
14. Hamza – Meli Tano
15. Harith – Amani
16. Fahad – Kwerekwe

Hitimisho
Tiketi tayari zimeanza kuuzwa kwa ajili ya pambano hili la kihistoria kati ya Simba SC na RS Berkane. Mashabiki wote wanahimizwa kununua mapema ili kuepuka usumbufu. Hakikisha unapata tiketi yako kutoka kwenye kituo kilicho karibu nawe.
Leave a Comment