Fuatilia matokeo ya RS Berkane vs Simba SC leo 17 Mei 2025 katika nusu fainali ya CAF Confederation Cup. Live updates, muda, na uwanja hapa. MATOKEO RS Berkane vs Simba SC 17 Mei 2025 – Nusu Fainali CAF Confederation Cup
Matokeo Mubashara RS Berkane vs Simba SC 17 Mei 2025
Tunakuleta hapa matokeo ya moja kwa moja ya mchezo huu. Endelea kutembelea ukurasa huu kupata taarifa za mabadiliko ya matokeo na matukio muhimu ya mchezo.
Kipindi cha Kwanza
0’ Mpira umeanza rasmi
1’ RS Berkane 0-0 Simba SC – Mchezo unaendelea moja kwa moja kutoka Stade Municipal de Berkane, Morocco
Simba SC Waanza Safari ya Fainali Dhidi ya RS Berkane
Hatimaye siku ya kusubiriwa kwa hamu imewadia. Leo, tarehe 17 Mei 2025, mashabiki wa kandanda barani Afrika na duniani kwa ujumla wanakazia macho yao nchini Morocco ambapo mnyama Simba SC kutoka Tanzania anakipiga dhidi ya RS Berkane katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup).

Taarifa Muhimu za Mchezo
Aina ya Mchezo: Nusu Fainali – CAF Confederation Cup 2024/2025
Timu: RS Berkane vs Simba SC
Tarehe: Jumamosi, 17 Mei 2025
Muda: Saa 4 usiku (22:00 PM)
Uwanja: Stade Municipal de Berkane, Morocco
Mchezo huu ni wa kwanza kati ya miwili, ambapo marudiano yatafanyika Tanzania tarehe 27 Mei 2025. Mashabiki wanatazamia burudani ya kiwango cha juu kutoka kwa timu hizi mbili zinazowania tiketi ya kucheza fainali ya michuano hii mikubwa.
SOMA Pia; Kikosi cha Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
Hitimisho
Simba SC wakiwa ugenini wanahitaji nidhamu ya hali ya juu na matokeo mazuri kabla ya kurejea nyumbani kwa mchezo wa marudiano. Endelea kufuatilia hapa kwa kila tukio, goli, na mabadiliko ya kikosi katika pambano hili muhimu la CAF Confederation Cup.
Leave a Comment