Fuatilia matokeo ya moja kwa moja Yanga vs JKT Tanzania leo 18 Mei 2025 kwenye Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup, dakika kwa dakika kutoka CCM Mkwakwani. Matokeo Mubashara Yanga SC vs JKT Tanzania – Nusu Fainali CRDB Cup Leo 18 Mei 2025
MATOKEO Yanga vs JKT Tanzania Leo
Yanga SC na JKT Tanzania FC wanakutana leo katika pambano kali la Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa msimu wa 2024/2025.
Mchezo huu muhimu unatarajiwa kuchezwa tarehe 18 Mei 2025, ukiwa ni hatua ya kuelekea fainali ya michuano hiyo mikubwa ya kitaifa, kabla ya mchezo rasmi wa tarehe 28 Mei 2025 utakaofanyika kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, Tanga kuanzia saa 3:30 usiku.
Mashabiki wa soka kote nchini wanasubiri kwa hamu matokeo ya leo, huku timu zote mbili zikiingia uwanjani zikiwa na lengo moja — kufuzu fainali na kuwania taji la CRDB Federation Cup.
Yanga vs JKT Tanzania Leo – Matokeo Mubashara
Tutakuwa na matangazo ya moja kwa moja (LIVE Updates) kutoka dakika ya kwanza hadi ya 90, tukikuletea kila tukio muhimu la mchezo huu wa kusisimua kati ya Yanga SC dhidi ya JKT Tanzania FC.
Endelea Kutufuatilia kwa Taarifa Kamili za Mchezo Huu
Habari Web Blog inahakikisha hupitwi na chochote — kuanzia vikosi vya kwanza, matukio ya kipindi cha kwanza na cha pili, hadi matokeo ya mwisho. Tutakupa taarifa za papo kwa papo kuhusu matokeo ya Yanga vs JKT Tanzania leo tarehe 18 Mei 2025.
Leave a Comment