Orodha ya Wachezaji Wanaongoza Kwa Ufungaji Msimu wa 2024/2025
Wafungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025 wameendelea kuonyesha makali yao uwanjani. Hii ni orodha rasmi ya wachezaji wanaoongoza kwa idadi ya mabao hadi tarehe 08 Mei 2025.
Orodha Kamili ya Wafungaji Bora NBC Premier League 2024/2025
- Jean Charles Ahoua – Simba SC = 15
- Clement Mzize – Yanga SC = 13
- Prince Dube – Yanga SC = 12
- Leonel Ateba – Simba SC = 12
- Jonathan Sowah – Singida Black Stars = 11
- Elvis Rupia – Singida Black Stars = 10
- Steven Mukwala – Simba SC = 09
- Pacome Zouzoua – Yanga SC = 09
- Peter Lwasa – Kagera Sugar = 08
- Offen Chikola – Tabora United = 08
- Stephen Aziz Ki – Yanga SC = 08
- Gibril Sillah – Azam FC = 07
- Seleman Mwalimu – Fountain Gate = 06
- Nassor Saadun – Azam FC = 06
- Paul Peter – Dodoma Jiji FC = 06
- Heritier Makambo – Tabora United = 05
- William Edgar – Fountain Gate = 05
- Maabad Maulid – Coastal Union = 05
- Seleman Bwenzi – KenGold FC = 05
- Elie Makono – Fountain Gate = 05
- Mishamo Daudi – KenGold FC = 05
- Edward Songo – JKT Tanzania = 05
- Iddi Kipagwile – Dodoma Jiji = 05
- Idd Nado – Azam FC = 05