Orodha ya Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025

0
Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025
Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025

Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025

Habari njema kutoka kwa Mwanamichezo wa MichezoLeo Blog! Katika ukurasa huu, tunakuletea taarifa fupi kuhusu Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025, pamoja na msimamo wa vinara wa magoli kwa msimu huu wa kusisimua.

Orodha ya Wafungaji Bora CAF (CAF Top Goal Scorers) 2024/2025

Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/2025 tayari imeanza, ikiwa na mabadiliko mengi ya kimfumo ikilinganishwa na misimu iliyopita. Wachezaji mbalimbali wameanza kuonyesha ubora wao wa kufumania nyavu na orodha ya wafungaji bora imeanza kuonekana wazi.

Ushindani katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu umeongezeka, na hivyo kuongeza msisimko wa ligi hii maarufu barani Afrika.

Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025

NafasiMchezajiTimuMagoli
1Youcef BelaïliEsperance Tunis7
2Ibrahim AdelPyramids FC6
3Fiston MayelePyramids FC6
4Emam AshourAl Ahly FC5
5Stephane Aziz KiYoung Africans SC5
6Relebohile MofokengOrlando Pirates4
7Mohamed AbdelrahmanAl-Hilal Club (Omdurman)4
8Wessam Abou AliAl Ahly FC4
9Clement MzizeYoung Africans SC4
10Aimen MahiousCR Belouizdad4
11Joel BeyaAS FAR Rabat4
12Nawfel ZerhouniRaja Club Athletic3
13Mohau NkotaOrlando Pirates3
14Elias MokwanaEsperance Tunis3
15Percy TauAl Ahly FC3
16Prince DubeYoung Africans SC3
17Adepoju OluwaseunDekedaha FC3
18Iqraam RaynersMamelodi Sundowns FC3
19Hussein El ShahatAl Ahly FC3
20Gabriel DadzieAS Arta/Solar73

Hatua ya Makundi CAF Champions League 2024/2025

Hatua ya makundi sasa imemalizika rasmi, ambapo timu 16 zimejipatia nafasi katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025.

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League 2024/2025

NafasiTimuNchi
1Al Hilal OmdurmanSudan
2ASFARMorocco
3Pyramids FCMisri
4Orlando PiratesAfrika Kusini
5Al AhlyMisri
6MC AlgerAlgeria
7Raja Club AthleticMorocco
8Espérance Sportive de TunisTunisia

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here