Vituo vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba SC vs Stellenbosch FC – 20/04/2025

0
Vituo vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba SC vs Stellenbosch FC

Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Simba SC vs Stellenbosch FC – 20/04/2025

Simba SC kutoka Tanzania itacheza na Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini kwenye mechi ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup. Mchezo huu wa kusisimua utachezwa Jumapili, tarehe 20 Aprili 2025, katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa kwa ukarabati. Maandalizi ya mchezo huu yamekamilika na timu ya Simba SC ipo tayari kupambana ili kufika fainali.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesisitiza kuwa Stellenbosch ni timu yenye nguvu na kufika kwake hatua hii ni ushahidi wa ubora wao. Kwa hivyo, Simba itahitajika kupigana kwa bidii ili kuhakikisha ushindi kwenye uwanja wa nyumbani. Kwa wale watakaotaka kushuhudia pambano hili la kihistoria, tiketi za kuingia uwanjani zimeanza kuuzwa rasmi na zinapatikana katika vituo mbalimbali Dar es Salaam na Zanzibar.

Vituo Rasmi vya Kununua Tiketi

Dar es Salaam

  1. Lampard Electronics – Simba HQ, Msimbazi
  2. Vunja Bei Shops – Maduka yote (Dar es Salaam)
  3. New Tech General Traders – Yeni Bar
  4. TTCL Shops – Dar es Salaam
  5. Juma Burrah – Msimbazi Center
  6. Halphani Hingaa – Oilcom Ubungo
  7. Mtemba Service Company – Temeke
  8. Jackson Kimambo – Ubungo Rombo
  9. Mkaluka Traders Ltd – Machinga Complex
  10. Khalfani Mohammed – Ilala Bungoni
  11. Karoshy Pamba Collection – Dar Live
  12. Fusion Sports Wear – Posta DSM
  13. Gwambina Lounge – Temeke Opp Duce
  14. Antonio Service Co. – Sinza & Kivukoni
  15. Gisela Shirima – Dahomey Street
  16. Tumpe Kamwela – Kigamboni
  17. Sovereign Co. – Kinondoni Makaburini
  18. Gitano Samwel – Mbagala Zakhem
  19. Robert Nyabululu – Ferry Kigamboni
  20. Nicovic Enterprises Ltd – Segerea Oilcom
  21. Sabana Business Center – Mbagala Maji Matitu
  22. Tawi la Simba – Kariume Unstoppable

Zanzibar

  1. Amaan Stadium
  2. Mohamed Zahran Abdulla – Bandarini, Mkoani Pemba
  3. Shadrack Kimario – Kariakoo, Mchina Tambi
  4. Nuhu Jumanne Ally – Bububu Skuli
  5. Rashid Issa Juma – Fuoni (Mambo Sasa Nawasillisha)
  6. Lukuman Omar Khamis – Radio One, Daraja Bovu
  7. Harith – Amani
  8. Fahad – Kwerekwe
  9. Hamza – Melitano
  10. Suleiman – Kwerekwe Sokoni
  11. Hamid – Bububu
  12. Issa Yunus Issa – Fuoni Melinne
  13. Mwinyi Mwinyi Mwanakwerekwe – Car Wash
  14. TTCL Office – Kijangwani
Vituo vya Kununua Tiketi za Mechi ya Simba SC vs Stellenbosch FC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here