Michezo

Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025

Jezi Mpya Za Yanga 2024/2025

Hizi hapa Jezi Mpya Za Yanga msimu wa 2024/2025, Ikiwa na matarajio makubwa ya msimu mpya wa 2024/2025, Yanga SC wamezindua rasmi jezi zao mpya za nyumbani, ugenini, na jezi mpya mbadala (third kit) watakazotumia katika mashindano yajayo. Jezi hizi zitapatikana kwa Tsh 45,000.

Yanga Yazindua Jezi Mpya
Yanga Yazindua Jezi Mpya

Klabu ya Yanga, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wameonyesha muonekano mpya wa jezi zao kwa msimu wa 2024/25.

Yanga Yazindua uzi Mpya
Yanga Yazindua uzi Mpya

Jezi zilizozinduliwa ni za aina tatu, ikiwemo jezi ya nyumbani, jezi ya ugenini, na jezi ya ziada, maarufu kama jezi ya tatu.

Unaonaje muonekano mpya wa jezi hizi za Wananchi? Tupatie maoni yako.

Leave a Comment