Betting

Meridianbet inatoa ODDS kubwa – Machaguo Zaidi ya 1000

Meridianbet inatoa ODDS kubwa - Machaguo Zaidi ya 1000

Meridianbet inatoa ODDS kubwa na machaguo zaidi ya 1000 leo. Bashiri ligi za Ugiriki, LaLiga, na Serie A. Cheza michezo ya Kasino pia!

Meridianbet Inaleta ODDS Kubwa na Machaguo Zaidi ya 1000

Unatafuta mahali pa kubashiri mechi zako unazozipenda na kupata machaguo mengi? Meridianbet, mabingwa wa ubashiri Tanzania, ndio suluhisho lako. Bashiri sasa na ufurahie machaguo zaidi ya 1000!

Bashiri Mechi za Ligi Kuu ya Ugiriki SUPER LEAGUE

Leo, kwenye Ligi Kuu ya Ugiriki, kuna mchezo mmoja ambapo Olympiacos Piraeus atamenyana na Athens Kallithea saa 2:30 usiku. Meridianbet imeweka ODDS kubwa na machaguo mengi kwenye mechi hii. Olympiacos anaonekana kuwa chaguo bora kwa ushindi, akipewa ODDS ya 1.10 kwa 20.58. Ingia Meridianbet sasa na uanze kubashiri!

Michezo ya Kasino ya Mtandaoni

Mbali na ubashiri wa mechi, Meridianbet inakupa nafasi ya kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno, na mingine mingi. Shangilia ushindi mkubwa kupitia michezo hii inayopatikana kwa urahisi.

LaLiga Leo: Villarreal vs Celta Vigo

Katika LaLiga, Villarreal atakutana na Celta Vigo saa 4:30 usiku. Baada ya kutoa sare kwenye mechi iliyopita, Villarreal anapewa nafasi kubwa ya kushinda leo, akiwa na ODDS ya 1.84 kwa 3.92. Je, unakubali kuwa Villarreal ataondoka na ushindi au unaenda na Celta Vigo? Bashiri kijanja hapa na Meridianbet.

SERIE A Leo: Cagliari Calcio vs Como 1907

SERIE A leo ina mechi mbili kali, ambapo Cagliari Calcio atakutana na Como 1907 ambao wamepanda daraja msimu huu. Meridianbet imeweka ODDS kubwa kwa Cagliari kushinda kwa 2.30 dhidi ya 3.14 kwa Como. Je, unafikiri nani atatoka kifua mbele? Beti yako ipo wapi?

Mechi Kali ya Usiku: Juventus vs Hellas Verona

Usiku wa saa 3:45, Juventus atakuwa mgeni wa Hellas Verona. Timu hizi zote mbili zimetoka kushinda mechi zao za kwanza kwenye ligi, na leo hii, Bibi Kizee anapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS ya 1.76 kwa 4.80. Je, unadhani Juventus itaondoka na pointi tatu ugenini? Jisajili sasa na uweke bashiri yako!

Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee ya kushinda kwa ODDS kubwa na machaguo mengi. Usikose nafasi hii ya kipekee! JISAJIRI HAPA

Leave a Comment