Ratiba Rasmi ya Mitihani ya Kidato cha Sita 2025
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa ratiba rasmi ya mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) kwa mwaka 2025. Mitihani hii muhimu inaanza rasmi tarehe 5 Mei 2025 na kumalizika 26 Mei 2025, ikihusisha masomo mbalimbali kwa kufuata muda uliopangwa rasmi.
Muda wa Mitihani
- Asubuhi: Saa 2:00 hadi 5:00
- Mchana: Saa 8:00 hadi 11:00
Ratiba ya Mitihani kwa Siku
Jumatatu, 5 Mei
- Asubuhi: General Studies
- Mchana: English Language 1, Chemistry 1
Jumanne, 6 Mei
- Asubuhi: Kiswahili 1, Basic Applied Maths, Advanced Maths 1
- Mchana: Economics 1, History 1, Chinese Language 1
Jumatano, 7 Mei
- Asubuhi: Kiswahili 2, Physics 1, Agriculture 1
- Mchana: Accountancy 1, Geography 1, Physical Education 1, French Language 1
Alhamisi, 8 Mei
- Asubuhi: History 2, Biology 2
- Mchana: English Language 2, Chemistry 2
Ijumaa, 9 Mei
- Asubuhi: Geography 2, Agriculture 2
- Mchana: Commerce 2, Fine Art 1, Chinese Language 2, Physics 2
Jumatatu, 12 Mei
- Asubuhi: Food and Human Nutrition 2, Advanced Maths 2
- Mchana: Economics 2, Divinity 1, Islamic Knowledge 1
Jumanne, 13 Mei
- Asubuhi: Agriculture 3 (Practical), Food and Human Nutrition 3 (Practical)
- Mchana: Computer Science 1
Jumatano, 14 Mei
- Asubuhi: Biology 3A, Chemistry 3A, Physics 3A (Practical)
- Mchana: Information and Computer Studies, Divinity 2, Islamic Knowledge 2
Alhamisi, 15 Mei
- Asubuhi: Computer Science 2 (Practical)
- Mchana: Arabic Language 1
Ijumaa, 16 Mei
- Mchana: Arabic Language 2
Jumatatu, 19 Mei
- Asubuhi: Biology 3B (Practical)
Jumanne, 20 Mei
- Asubuhi: Chemistry 3B (Practical)
Jumatano, 21 Mei
- Asubuhi: Physics 3B (Practical)
Alhamisi, 22 Mei
- Asubuhi: Biology 3C (Practical)
Ijumaa, 23 Mei
- Asubuhi: Physics 3C (Practical)
Jumatatu, 26 Mei
- Asubuhi: Chemistry 3C (Practical)
Mwongozo Muhimu kwa Wanafunzi
- Wanafunzi wanapaswa kufika kituoni angalau dakika 30 kabla ya mtihani kuanza.
- Katika hali ya utata kuhusu ratiba, wanafunzi wanashauriwa kufuata maelekezo kwenye karatasi za maswali.
- Ratiba itaendelea kama ilivyopangwa hata katika siku za mapumziko ya kitaifa.
Kwa maelezo zaidi, hakikisha unafuatilia matangazo rasmi kutoka NECTA. Tunawatakia wanafunzi wote mafanikio mema katika mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2025!
Leave a Comment